UPDATES: Mkutano wa CHADEMA jijini London...

Utaratibu wa kupata viongozi CCM haiwezekana mtu aliyejiunga chama siku hiyo hiyo akawa kiongozi. Kuna taratibu za fomu, mahojiano na kama mbali mbali kabla jina kupitishwa.

Mahojiano hayo kwa CCM ni muhimu kubaini kama mgombea amekubuhu kwenye ufisadi, CDM sifa muhimu ni kuendeleza mapambano dhidi ya ufisadi
 
True, na huko huko vijijini maisha magumu hakuna huduma za afya, jamii wala miundombinu (except Msata) na watu wanakufa kwa kukosa hata aspirin lakini Dhaifu anakata mbuga kwenda kujichekesha-chekesha nje kila siku. Hiki chama magamba, na viongozi wake na wapambe wasiwasi mtupu !!
Vijiji vingi Tanzania hakuna matawi ya chadema mnaenda kufungua matawi uingereza jamani hiki chama na chenyenyewe hiki wasiwasi mtupu!
 
Mkutano wao wamefeli propaganda zote wamekosa watu hata 20. chris ana elimu gani nauliza?
 
KAMA MSIKITI ILIKUWA PUB na sasa sio pub (bar) ni tofauti na Thatched PUB ambayo ni Bar hadi sasa.kama hapo msikiti wa zanzibar wanakunywa na pomba au kuna uzwa pombe hapo ndio utakuwa na hoja.walichokifanya wamebadili matumizi ya jengo kutoka Bar kwenda kwenye msikiti is so common in the UK.
 
Huo mkutano au kikao cha wanandugu.

Mkuu Ritz
Kilikuwa kikao cha ubatizo wa mtoto subiri labda watatuletea updates nyingine; mkutano na meya tayari au tunasubiri parade ?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Hivi Watanzania ushamba utatuisha lini yaani mtu unakwenda kwenye kampuni za Tours, self drive unakodisha Vogue halafu unapiga nalo picha.

Ulitaka apige na wewe picha? Bado una wivu wa k**t**0**? Kwani unafikiri Hataweza Kumiliki?
 
Back
Top Bottom