UPDATES: Mkutano wa CHADEMA jijini London...

UPDATES: Mkutano wa CHADEMA jijini London...

Najua magamba mlio wengi maisha yenu yanategemea sana uwepo wa ccm madarakani, ndo maana mnajipendekeza ili mteuliwe kushika nyazifa mbalimbali ndani ya ccm na serikali.

Bila kufahamu kwamba kila lenye mwanzo lina mwisho wake, na dalili ya mvua ni mawingu. Someni alama za nyakati 2015 chadema tunachukua nchi sijui mtajificha wapi, wakubwa wenu washaandaa makazi nchi za nje ndo maana kila mara wanaenda ili kutengeneza ujirani mwema na wenyeji wa huko ili wawafiche pale tutakapokuwa tunawasaka baada ya kukwapua hela zote hazina ili kwamba chadema ikose fedha ya kuendeshea serikali.

Zinduka kijana, zinduka baba, zinduka mama, vua gamba vaa gwanda m4c forever. Kwa pamoja tuungane kuikomboa nchi yetu kutoka mikononi mwa mafisadi. Pipoooooooooooooooooz????
 
Mkuu Ritz,
Saa nne usiku London vipi umeshapata updates unajua watu London walikuwa hawana vibarua muda mrefu Mungu amewapa neema ya olimpiki angalu watakuwa na vibarua vya hapa na pale nina wasiwasi sana na ushiriki wao; umepita muda hatuja pata updates zozote subiri mzee wa kazi Lukosi aungeunge picha vipa imara atupostie si unajua tena mambo teknolojia ya kuunga picha.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Jamaa yuko kwa desa?biro siyo london acheni unchemba
 
anasema sio dhambi kumtoa rais mwizi mahakamani ila ni dhambi kumwacha rais mwizi mahakamani

Mahakama gani, au the Hague? siamini kama maneno haya yanatoka kwa kamanda Lema. Ebu rewind halafu umsilize vizuri alichomaanisha.
 
Mahakama gani, au the Hague? siamini kama maneno haya yanatoka kwa kamanda Lema. Ebu rewind halafu umsilize vizuri alichomaanisha.
Sorry kaka,nilikuwa namaanisha madarakani
 
Mkuu chama,

Ninavyoijua Uingereza lazima hawa jamaa na mkutano wao watakuwa wamechemka vibaya sidhani hata kama wamepata watu hata 20.

Hujue Uingereza hapa katikati walipunguza wafanyakazi watu wengi wakawa wamekosa kazi baada ya Olympics kuanza watu wengi wamepata vibarua na Watanzania wengi ambao wapo Uingereza wengi wamejilipua mbaya zaidi East London, Ilford wamejaa Wapemba ambao wamepata uraia wa Uingereza hawawezi kwenda Pub mwezi wa Ramadhan.

Chadema wamejichaguwa wenyewe wanaojuana tu hilo ndio tatizo.


Tupeni updates za Upton Park.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chama,

Ninivyoijua Uingereza lazima hawa jamaa na mkutano wao watakuwa wamechemka vibaya sidhani hata kama wamepata watu hata 20.

Hujue Uingereza hapa katika walipunguza wafanyakazi watu wengi wakawa wamekosa kazi baada ya Olympics kuanza watu wengi wamepata vibarua na Watanzania wengi ambao wapo Uingereza wengi wamejilipua mbaya zaidi East London, Ilford wamejaa Wapemba ambao wamepata uraia wa Uingereza hawawezi kwenda Pub mwenzi wa Ramadhan.

Tupeni updates za Upton Park.

Mkuu heshima yako,

Hii sehemu ipo Barking na sio Upton Park.

Upton Park ipo East Ham.
 
Mkuu heshima yako,

Hii sehemu ipo karibu Canning Town na Stratford na sio Upton Park.

Upton Park ipo East Ham.

Canning town wapi mkuu, Maplin road, Rogers road, Ruscoe road, Butchers road? Kote huko Watanzania wakuhesabu kuna wapemba tu.
 
Canning town wapi mkuu, Maplin road, Rogers road, Ruscoe road, Butchers road? Kote huko Watanzania wakuhesabu kuna wapemba tu.

Mkuu tafadhali unaua sana.

lol
 
Mkuu Ritz

Wanachama wanatafutwa wanapatikana tu utashangaa ukiona picha baadae.
 
Ina maana ANNUR wamekubali CHADEMA wafanye mkutano kwenye pub waliyonunua ya msikiti?

namwona pale brazameni CHRIS...sio chris lukozi bali chris brazameni

halafu mkutano wenyewe mbona umejaa CCM London?
 
mwezi wa ramadhani ndiyo kitu gani?

Utaujua 2015...mutapotaka kura za waislam .....dharau zenu kwa waislam wa nchi hii ni ndoto kabisa kuingia ikulu labda wafe wote...
mutaota tu na kupiga kelele....
na 2015 tutapiga kampeni ya nguvu kuwakataa
inaelekea wazi muna ajenda ya siri dhidi ya uislam

kazi kwenu mutakuja shangaaa 2015 hata CUF itapokuwa mbele yenu.
 
Mkuu Ritz,

Mchango wako unahitajika kwenye kujibu maswali ya utafiti wetu kuhusu JF, tumeweka link hapo juu unakaribishwa kuchangia angalau maswali mawili matatu.

Ila usichafue hali ya hewa.

Lol
 
Ina maana ANNUR wamekubali CHADEMA wafanye mkutano kwenye pub waliyonunua ya msikiti?

namwona pale brazameni CHRIS...sio chris lukozi bali chris brazameni

halafu mkutano wenyewe mbona umejaa CCM London?

Watu wamefuata kula na kunywa tu hakuna jingine

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu Richard,
Hitakuwa mmewachukuwa wana Nigeria mmewapa ofa za Inni & Gunn...ha haa haaa!

Mkuu Ritz'
Si unakumbuka ufunguzi wa tawi la Washington DC? Watu kibao walifuata kula na kunywa siku ya uchaguzi wa viongozi wa Chadema wanachama hawakufika hata 20 sasa hapo ndipo unapojionea kichekesho. Subiri watuunganishie picha za kwenye vipa imara!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu Ritz,

Ikiwa CHADEMA itashinda uchaguzi wa 2015, basi kila kitu kitabadilika.

MANIFESTO ipo tayari na ndio itakuwa msingi wa uendeshaji serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mambo ya ubabaishaji ambayo watanzania tumezoeshwa yamepitwa na wakati.

Halafu Serikali huwa inakopa fedha kutoka kwenye mashirika ya umma kwa ajili ya matumizi yake na haijulikani kama huwa inarudisha fedha hizo au inakuwa inabakiwa na madeni.

Ikiwa imerudisha itakuwa ni baada ya bajeti kupita kwa wizara zote.

Kwanini serikali inachukua pesa kutoka kwenye mashirika ya umma?

Je Ritz unafahamu hili?
 
Back
Top Bottom