UPDATES: Mkutano wa CHADEMA jijini London...

Hivi Watanzania ushamba utatuisha lini yaani mtu unakwenda kwenye kampuni za Tours, self drive unakodisha Vogue halafu unapiga nalo picha.

akodi gari asikodi haituhusu lengo ni mkutano wa chama tu.
 
Ukweli husemwa:

Palipo na ukweli mara nyingi uongo hujitenga.

Inavyoonekana kuna watu furani wamemwingiza mkenge Lema kwa ajiri ya manufaa yao binafsi. Nilihoji na kupinga huu mpango mzima wa haraka haraka bila hata maandalizi mazuri kufanyika.

Watu waliohuzuria hawakufika hata 15 na wengi wao ni wale wale tunaowaona kwenye minuso mbalimbali hapa UK na pia kwenye mikutano ya CCM UK. Watu kama Chris Chagula

Hakuna ofisi ya Chama achilia mbali uchaguzi wa viongozi.

Watanzania, hebu tujalibu kuwa makini hata kidogo tu na tuachane na tabia ya Uchakachuaji.
Wewe unaonekana ni mmoja ya wanafiki ukihesabu hata waonao onekana kwenye picha hiyo idadi ya 15 imevukwa huku wewe unasema hawakufika. acha unafiki...huo ni mwanzo tu masaburi yata wawasha sana safari hii
 
Unaruhusiwa kuniweka katika kundi lolote lakini Kumbuka hiyo ni Pub(bar) na kila umuonaye kwenye hizo picha siyo alikuwepo kwa ajiri ya mkutano.
 
Ukweli husemwa:

Unaruhusiwa kuniweka katika kundi lolote lakini Kumbuka hiyo ni Pub(bar) na kila umuonaye kwenye hizo picha siyo alikuwepo kwa ajiri ya mkutano.
Hujui hata kuangalia picha, pichambona zinaongea kuwa wanafatilia....acha unazi
 
kajitambua wapi chris njaa tu! kajitoa CCM siku hiyohiyo akawa mwenyekiti wa tawi CDM .. jamaa ni opportunistic tu ..
Alitakiwa achukue siku ngapi ndiyo achaguliwe kuwa mwenyekiti, kwa hiyo unataka kusema siku CCM wakienda nao huko atahamia CCM na kuwa mwenyekiti....
 
Picha Inayojitokeza ni kuwa Maandalizi hayakuwa Mazuri! Nini sababu? Ni Ukumbi umechangia? Au Uhamasishaji haukuwa Mzuri? Mliokuwepo tusaidieni kuelewa.
 
Alitakiwa achukue siku ngapi ndiyo achaguliwe kuwa mwenyekiti, kwa hiyo unataka kusema siku CCM wakienda nao huko atahamia CCM na kuwa mwenyekiti....

Utaratibu wa kupata viongozi CCM haiwezekana mtu aliyejiunga chama siku hiyo hiyo akawa kiongozi. Kuna taratibu za fomu, mahojiano na kama mbali mbali kabla jina kupitishwa.
 
Utaratibu wa kupata viongozi CCM haiwezekana mtu aliyejiunga chama siku hiyo hiyo akawa kiongozi. Kuna taratibu za fomu, mahojiano na kama mbali mbali kabla jina kupitishwa.

alokwambia CDM inafata taratibu za ccm ni nani?tumia akili b.w.e.g.e wewe!
 
Chadema sidhani kama wana uelewa wa kutosha kuhusu jamii ya wa Tanzania na maana ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Simply; huu ni ushahidi mwingine wa kutosha kuwa Chadema ni chama cha walokole na walevi

Kwa ulewa wako walokole ndiyo walevi? Sema una chuki binafsi na wivu.
 
Back
Top Bottom