Updates: Mkutano wa CHADEMA Dodoma leo...

Updates: Mkutano wa CHADEMA Dodoma leo...

Tunawaahidi kuwapatia taarifa zote muhimu kutokea kwenye eneo la tukio
 
jamani hzo update vipi? Hata picha tu wakuu! Au mvua kama Dar??
 
natafuta sehemu nipige picha ili nitupie hapa,watu wanamiminika kwa wingi,Diwani wa makulu amepanda mda huu,
 
Wageni ndo waanza kumiminika hapa watu wanahamasishwa kuja mbele ya jukwaa kuu ili waweze kusikiliza sera
 
Makamanda huwa 2liopo arusha 2nawapa kila ki2 mpaka niuyork! Na nyie wa 'makao makuu 2peni yote ya leo kuhusu peopleeez.

Dodoma sio Makao Makuu kwani yamebaki kwenye vitabu tu magamba walianzisha wameshindwa makao makuu ya mabadiliko ni Arusha
 
makamanda wameingia kwa sasa anasubiriwa kamanda wa anga.
 
Watu ni wengi altho jua ni kali wengne wanasogea sogea. Kuna kamanda yuko kwa stage anaimba nyimbo ya aman
 
Back
Top Bottom