Updates: Mkutano wa CHADEMA Dodoma leo...

Updates: Mkutano wa CHADEMA Dodoma leo...

watu ni wengi na bado wanaendelea kumiminika,natumia cm nashindwa kuweka picha naomba wadau wengine mrushe picha tusaidiane kuwajulisha watz kinachoendelea.
 
shehe anatuanzishia kwa dua"tunaanza na Mungu"
 
mchungaji anamshukuru mbowe na wapinzani kwa kazi wanayofanya bungeni.
 
Mch anawapongeza cdm kwa kucmamia haki n asema wachngj ni wapenda haki na wasimamia hak
 
mchungaji anasema CHADEMA wanapigania haki ya Taifa hili.
 

Attachments

  • Dodoma.jpg
    Dodoma.jpg
    159 KB · Views: 1,017
Nadhani intelegensia za mwema leo ziko vizuri,nitashangaa mno zikionyesha uwezekano wa shambulio la alshabab,wakati kwenye msiba wa Kanumba intelegensia hazikuonyesha kama watu watazimia na kupigwa virungu pamoja na kukosa nafasi ya kuaga mwili!

Duh I love JF
 
Anawaasa wa2 wa dom kupokea ujumbe watakaopewa na makamanda, uwabdlishe kwny mageuz
 
Chifu wa wagogo diwan biling anakuja kutoa neno la karibu
 
Back
Top Bottom