Mchawi mkubwa wewe, umelewa viroba. Watu ni wengi na sasa.Wakuu niko hapa lakini watu ni wachache sana, baadhi ya wabunge wa CDM wameshaondoka na wengine wanaondoka sasa, kwa kweli hali ni mbaya sana hapa Dodoma, watu ni wachache sana, wako bizy na shghuli za ujenzi wa Taifa
Asanteni, tupeni picha za kutosha
Wakuu niko hapa lakini watu ni wachache sana, baadhi ya wabunge wa CDM wameshaondoka na wengine wanaondoka sasa, kwa kweli hali ni mbaya sana hapa Dodoma, watu ni wachache sana, wako bizy na shghuli za ujenzi wa Taifa
Nia yake ilikuwa kumtambulisha Nasari mjini dodoma, lakini mapokeo ni mabaya sana, kuna watu takribani 50 hivi na kati yao ni kutoka vyombo nya usalama
Wakuu niko hapa lakini watu ni wachache sana, baadhi ya wabunge wa CDM wameshaondoka na wengine wanaondoka sasa, kwa kweli hali ni mbaya sana hapa Dodoma, watu ni wachache sana, wako bizy na shghuli za ujenzi wa Taifa
Mchawi mkubwa wewe, umelewa viroba. Watu ni wengi na sasa.
Wakuu niko hapa lakini watu ni wachache sana, baadhi ya wabunge wa CDM wameshaondoka na wengine wanaondoka sasa, kwa kweli hali ni mbaya sana hapa Dodoma, watu ni wachache sana, wako bizy na shghuli za ujenzi wa Taifa
Wakuu niko hapa lakini watu ni wachache sana, baadhi ya wabunge wa CDM wameshaondoka na wengine wanaondoka sasa, kwa kweli hali ni mbaya sana hapa Dodoma, watu ni wachache sana, wako bizy na shghuli za ujenzi wa Taifa
Karibu Jamvini ndugu....twmbiaen mkutano huo hapo mjini dodoma unahusu nini wandugu zangu mliopo pande izo na picha zinakua muhimu sana
Hakuna ulazima wa kuchangia uzi usiokuhusu wewe gamba gumu,usitake kuchafua hali ya hewa hapa watu tukala ban,anzisha thread yako na watu wa type yako watachangia huko kwa amani na upendo na mtajadiliana kwa furaha sana huku mkiendelea kujazana pumba vichwani mwenu,TUACHENI SISI WATU MAKINI TUFUATILIE HABARI ZA CHAMA MAKINI ,CHADEMA,!!!!!!