MWANDEPEKA
Senior Member
- Aug 25, 2014
- 182
- 61
Hivi act imevuna wanachama wangapi katika mikutano ya songea,njombe na makambako maana naona hawalejeshi mrejesho wa walichokivuna maana kwa misifa ya hawa watu wangetupia picha wakiwakabizi kadi
Watu wanawashutumu kwamba nyinyi mpo kwa ajili ya kuuvuruga upinzani, mnaliongeleaje hili?
Lengo kuu la kuanzisha vyama pinzani ni nini basi? Kushambuliana vyenyewe kwa vyenyewe? Naomba niainishie sera zenu hapa, ni namna gani mtaenda kumkomboa mtanzania toka kwenye lindi kubwa la maradhi, umasikini na ujinga. Ni namna gani mtaenda kukabiliana na rushwa kubwa na ufisadi ulio tamalaki? Nilitumani mngekuwa mstari wa mbele kukemea rushwa na ufisadi kumbe imekua tofauti na badala yake mmekuwa mstari wa mbele kupambana na upinzani pia. Nyinyi ni chama tawala au ni chama cha upinzani wa wapinzani?
Chama cha ACT-WAZALENDO kinafanya Mkutano mjini Iringa. Maandalizi yote ya Mkutano yamekamilika na asubuhi hii ni ufunguzi wa matawi ya chama katika mji wa makambako na maeneo mengine.
Tutawaletea kitakachojiri pamoja na picha na matukio mengine.
mna kelele sana nyie ccm b subirirni uchaguzi alafu mtajua kufungua akaunti nyingi kwenye jf alafu unaanzisha mada na kuchangia mwenyewe sio kura. mtapoteana mpaka mtashangaaLeo Msigwa anakimbizwa na kufyekwa misitu yake na mapori
Watu wanawashutumu kwamba nyinyi mpo kwa ajili ya kuuvuruga upinzani, mnaliongeleaje hili?
Lengo kuu la kuanzisha vyama pinzani ni nini basi? Kushambuliana vyenyewe kwa vyenyewe? Naomba niainishie sera zenu hapa, ni namna gani mtaenda kumkomboa mtanzania toka kwenye lindi kubwa la maradhi, umasikini na ujinga. Ni namna gani mtaenda kukabiliana na rushwa kubwa na ufisadi ulio tamalaki? Nilitumani mngekuwa mstari wa mbele kukemea rushwa na ufisadi kumbe imekua tofauti na badala yake mmekuwa mstari wa mbele kupambana na upinzani pia. Nyinyi ni chama tawala au ni chama cha upinzani wa wapinzani?
Chadema leo wanakimbizwa Iringa
Uzuri wa vyama vingi ni kuhusu mawazo tofauti wananchi sio wajinga, wanajua kuchagua wanachokitaka.Katika siasa za vyama vingi msingi ni kuwa chama bora kitatambuliwa na wananchi na watakichagua.Sio haja ya vyama vingine kuwa na hofu na ACT bali kama hofu ipo iwe ni kwa vyama vyenyewe kujisahihisha pale ambapo labda vinaona havipo sawa ili wananchi waviamini zaidi, kulalamikia ubaki peke yako ni dalili za udhaifu wa kutaka ucjaguliwe sio kwa ubora wako bali kwa sababu hakuna mzuri mwingine, hii sio sababubya kuwa na vyama vingi, tunahitaji uwanja mpana
Kati ya chama kinachosimamia kwenye hoja ni ACT, ndio maana huwezi kusikia Zitto kamsema Dr Slaa, Mbowe wala Chadema.
Hapa kwenye JF akina sie ni wananchi tu, kama vile wewe ambavyo hujatumwa wala kuambiwa cha kusema na chama chako vivyovivyo yanayoongelewa humu na washabiki wawe wa ACT au Wa Chadema hayana maana kuwa ndio mawazo ya chama chao.
Ni muhimu kujua hilo, sio kila kilichopo JF ni official
Hodi hodi IRINGA,Pisheni njia ACT-WAZALENDO wafyeke misitu na mapori
Leo Msigwa anakimbizwa na kufyekwa misitu yake na mapori
we na wewe kumbe hamnazo maelekezo mengi lkn yamejaa pumba washauri chagadema wenzako wajenge chama chao waache kufuatilia vyama vingine. period!
Tangu lini ACT na Zitto wakawa na hoja za maana zaidi ya usaliti?.Uzuri wa vyama vingi ni kuhusu mawazo tofauti wananchi sio wajinga, wanajua kuchagua wanachokitaka.Katika siasa za vyama vingi msingi ni kuwa chama bora kitatambuliwa na wananchi na watakichagua.Sio haja ya vyama vingine kuwa na hofu na ACT bali kama hofu ipo iwe ni kwa vyama vyenyewe kujisahihisha pale ambapo labda vinaona havipo sawa ili wananchi waviamini zaidi, kulalamikia ubaki peke yako ni dalili za udhaifu wa kutaka ucjaguliwe sio kwa ubora wako bali kwa sababu hakuna mzuri mwingine, hii sio sababubya kuwa na vyama vingi, tunahitaji uwanja mpana
Kati ya chama kinachosimamia kwenye hoja ni ACT, ndio maana huwezi kusikia Zitto kamsema Dr Slaa, Mbowe wala Chadema.
Hapa kwenye JF akina sie ni wananchi tu, kama vile wewe ambavyo hujatumwa wala kuambiwa cha kusema na chama chako vivyovivyo yanayoongelewa humu na washabiki wawe wa ACT au Wa Chadema hayana maana kuwa ndio mawazo ya chama chao.
Ni muhimu kujua hilo, sio kila kilichopo JF ni official
Chama cha ACT-WAZALENDO kinafanya Mkutano mjini Iringa. Maandalizi yote ya Mkutano yamekamilika na asubuhi hii ni ufunguzi wa matawi ya chama katika mji wa makambako na maeneo mengine.
Tutawaletea kitakachojiri pamoja na picha na matukio mengine.
Mpuuzi sana wewe. Hoja mnazosimamia ni hayo matangazo ya kuhamia ACT ambayo kila mtu mliyemtaja kakataa?
kwa hiyo huo ndio ujumbe wenu mlio ubeba nakuzunguka nao kwenye mikutano
Wanatuhusu kwa sababu na wao ni mafisadi kama marafiki zao CCM.