Updates: Mbowe ndani ya Kanda ya Ziwa Victoria

Updates: Mbowe ndani ya Kanda ya Ziwa Victoria

Kanda ya ziwa pekee ndiyo uamua hatima ya urais wa Tz wameamua na lazima ccm iwe chama cha upinzani
 
chadema ni mpango wa Mungu!

nitakuja viwanja vya furahisha kwa garama zangu sio kusombwa na lori kama kifusi

delete futa kabisa ccm

Kwa hiyo tunakubaliana ni mpango wa Mungu chadema kuwa chama cha upinzani cha kudumu?
 
hiyo kanda ndo inayoaamua nani anakuwa rais wa nchi hivyo juhudi kubwa zinahitajika

kwa uzoefu wangu kuanzia bukoba,geita,mwanza sina shaka chadema inakubalika sana wapo tayari kwa lolote
 
Ndio tumeanza kazi Kamanda shaka ondoa
mkuu ccm wakisikia mbowe yuko kanda ya ziwa matumbo yote joto ngoja kesho unaweza sikia polisccm wakasema kutokana na taarifa za kiitentelijensia tumeona mkutano usifanyike kutokana na ndege iliyoaanguka jana
 
Hata hivyo hizo tarifa tumeshazisikia
 
magamba yanatetemeka kila kona... hapo kwenye red brigade wajitahidi kuwaajiri wale waliohitimU JKT ili wasaidie kuwakabili raia wakakamavu wa ccm

Ha ha ha haaa.Raia wakakamavu.! Hapa wengi hawajakupata ila mimi na baadhi tumekupata.Ha ha ha haa.(Raia wakakamavu).Naunga mkono hoja. Hii imekaa poa sana hii.
 
Back
Top Bottom