Updates: Mbowe ndani ya Kanda ya Ziwa Victoria

Updates: Mbowe ndani ya Kanda ya Ziwa Victoria

Hamjafika Ruvuma mnatutia simanzi sana. Kwanini hamfiki huku tangu mchaguliwe. Kila kukicha mwanza,kilimanjaro,dodoma,dar,shinyanga na mbeya tu jamani.
 
Hamjafika Ruvuma mnatutia simanzi sana. Kwanini hamfiki huku tangu mchaguliwe. Kila kukicha mwanza,kilimanjaro,dodoma,dar,shinyanga na mbeya tu jamani.

Mkuu tumekutana na viongozi wa Ruvuma na wadau wa Ruvuma kwenye makao makuu ya kanda ya Nyanda za juu Kusini, ziara hizi tunakwenda kwenye makao makuu ya kanda na si kila mkoa wa kwenye kanda.

Ipo operation inapangwa kwa kanda ya Nyanda za juu Kusini itahusisha na mkoa wa Ruvuma na mikoa mingine ndani ya kanda husika.
 
Board guard wake Mbowe nilimuona yuko makini kakauka huku akiwa na macho ya Kinyonga( rotation 360') utadhani ni CIA au FBI
 
Hongereni naona mnazidi kubuni magwanda. Kumbe na taiti ruksa!!
 
Attachments

  • 1425184994454.jpg
    1425184994454.jpg
    49 KB · Views: 215
Ninahakika watafika huko viongozi wa chadema ni wasikivu sana waamini .kama anavyo sema mtoi
 
Mpeleke Mbowe akapate lunch ya natural food hapo Nyanguli Pub.

Kwa Nyanguli palishafungwa siku nyingi labda waende Malikusema pale watapata chukuchuku ya kuku fresh wa kienyeji na ugali wa dona uliochanganywa na udaga, wakishatoka hapo ni kupiga kazi mpaka kieleweke.
 
Siku nyingi zipi mkuu, mi nimekula ugali nengu mwaka jana mwanzoni aisee. Malikusema ndio wapi?
 
Pale Nyanguli alishaondolewa labda kama amehamia sehemu nyingine ambayo mi sipafahamu ila kule nyuma ambapo ndio we ham is his geti la MSD hayupo, ukifika mlango mmoja ulizia mtu yoyote atakuelekeza.
 
Mimi nimewapenda hawa makamanda, yani wale polisi wakurusha mabomu lazima wake mbali na Chadema safari hii.
attachment.php
 
Board guard wake Mbowe nilimuona yuko makini kakauka huku akiwa na macho ya Kinyonga( rotation 360') utadhani ni CIA au FBI

Mbowe anatembea na ma-bodyguard wa nini wakati nguvu ya umma iko naye?
 
Back
Top Bottom