Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,319
- 111,446
Yaani nchi yetu inadharaurika sana, Kibaki ameona hapa kwetu huduma za afya ni sifuri ndio maana amechukuwa Raia wake, siamini kama Mtanzania akipata ajali Kenya serikali hii dhaifu kama itathubutu kumrudisha atibiwe hapa nyumbani.Ukijua sababu ambazo zimepelekea Rais Mwai Kibaki (yule Rais wa Kenya) kuleta ndege ya kijeshi usiku wa manane ili kuwahamisha raia wa Kenya majeruhi wa ajali ya basi kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwenda nchini mwao ndio unaweza kupata jibu kama Dr Ulimboka ni mkomboaji au muuaji. Au nani muuaji kati ya Dr. Ulimboka na Dr. Dr. Dr. Dr. JK.
Asante sana mkuu angalau tumeona umati huu
Mlioko uwanjani hivi dr Uli... bado yuko mapokezi au kashaenda zake kupumzika?
ha ha kashaingia mjini anasema yupo fit kwa lolote!mliman tv wamerusha live.....jamani wenye picha watuwekee
"Mimi mzima na niko tayari kwa lolote, ahsanteni wanafamilia, madaktari na watanzania wote" Kauli ya Dr. Ulimboka akibubujikwa na machozi... Wadau, karibuni Kwenye season infinity ya mgomo aw madaktari.
mkuuu nilikuwa karibu na dr na nimempiga sura yake picha ku2mia simu yangu nokia c3 cha kushangazi sijui jinsi ya kuweka humu janvini unaweza nifundisha
Yaani nchi yetu inadharaurika sana, Kibaki ameona hapa kwetu huduma za afya ni sifuri ndio maana amechukuwa Raia wake, siamini kama Mtanzania akipata ajali Kenya serikali hii dhaifu kama itathubutu kumrudisha atibiwe hapa nyumbani.
Mungu wa Israel akupatilize kwa haya maneno yako.
Yaani nchi yetu inadharaurika sana, Kibaki ameona hapa kwetu huduma za afya ni sifuri ndio maana amechukuwa Raia wake, siamini kama Mtanzania akipata ajali Kenya serikali hii dhaifu kama itathubutu kumrudisha atibiwe hapa nyumbani.
ha ha ha hii movie hatari karibu ifanane na ya mwakyembe.
Yaani nchi yetu inadharaurika sana, Kibaki ameona hapa kwetu huduma za afya ni sifuri ndio maana amechukuwa Raia wake, siamini kama Mtanzania akipata ajali Kenya serikali hii dhaifu kama itathubutu kumrudisha atibiwe hapa nyumbani.
kila mtu atakufa ....utatayakubmuka haya maneno na utatokwa na jasho sekunde chacke kabla ya kukata rohomarehemu mtarajiwa mwache aje kuaga kwa mara ya mwisho
Madhani hii ni changa moto kwa JF, Mimi pia sijui, ni hadi kutumia computer hivyo picha zinapitwa na wakati[/QUOT
aiseee basi ngoja niziangalie mwenyewe huku nakunjwa bege yangu