Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,316
- 111,475
Kama kawaida JK ni mwislamu mwenzetu tusimuangushe, ila umesahau na kipindi cha Mwinyi mazingira yalikuwa mazuri zaidi, ni hawa Wakristo ndio wanaharibu.Kuna mazingira mazuri Hospitali zetu zaidi ya wakati huu wa Kikwete? lini?
Kama kawaida JK ni mwislamu mwenzetu tusimuangushe, ila umesahau na kipindi cha Mwinyi mazingira yalikuwa mazuri zaidi, ni hawa Wakristo ndio wanaharibu.
Kama kawaida JK ni mwislamu mwenzetu tusimuangushe, ila umesahau na kipindi cha Mwinyi mazingira yalikuwa mazuri zaidi, ni hawa Wakristo ndio wanaharibu.
Swali gani?
Kuna mgomo unamalizwa bar saa tano za usiku?
Ulitaka ukamaliziwe ikulu,sivyo?
ndivyo alivyoelekezwa abedi wa ikulu!Kuna mgomo unamalizwa bar saa tano za usiku?
ndivyo alivyoelekezwa abedi wa ikulu!
Hata mikataba ya madini husainiwa bar!
Anajifanya hajui kama Karamagi alibeba mihuri hapa kwenda nayo Uingereza na hajui siku hizi Mahakama za CCM zinaendesha kesi hata Jumapili saa 8 usiku.ndivyo alivyoelekezwa abedi wa ikulu!
Hata mikataba ya madini husainiwa bar!
haya ni mambo ya chit chat,rudi kwenye hoja!Kiranga Komo!
Atarudia?
haya ni mambo ya chit chat,rudi kwenye hoja!
Anajifanya hajui kama Karamagi alibeba mihuri hapa kwenda nayo Uingereza na hajui siku hizi Mahakama za CCM zinaendesha kesi hata Jumapili saa 8 usiku.
rejea kauli yake ya jana!Hilo swali halijajibiwa ndio nakuridisha kwenye hoja hivyo.
Atarudia?
rejea kauli yake ya jana!
Kazi kwenu 'system at work' mtarudia?
Zomba,"Ukikosa afya ndio utajuwa nini maana ya afya", hilo darsa Ulimboka kisha jifunza!
Halafu eti mtu kama huyu anajidanganya eti anafunga Ramadhani kumbe amebadili tu ratiba za kula badaya ya kula mchana huyu atakuwa anakula usiku, tena nakushauli hapo kama una pilau kula kabla ya kulala."Ukikosa afya ndio utajuwa nini maana ya afya", hilo darsa Ulimboka kisha jifunza!
Halafu eti mtu kama huyu anajidanganya eti anafunga Ramadhani kumbe amebadili tu ratiba za kula badaya ya kula mchana huyu atakuwa anakula usiku, tena nakushauli hapo kama una pilau kula kabla ya kulala.
Hakuna funga ya mnafki yeyote inayopokelewa na ALLAH, inshort unajitesa bure tu kwa kushinda na njaa, huna funga yoyote.
Zomba,
Nakupa ushauri wa bure. Ningekuwa ni wewe ningejiondoa kabisa katika huu mjadala. Umeshachafua hewa kwa kusifia kichapo alichokipata Ulimboka. Unaonekana kushabikia Ikulu kuwa na kikosi cha wauaji au elimination squad. You are not speaking here with an open mind but a biased one.