Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
Mbwembwe hizo! msemaukweli ni matokeo ya mwisho.
CCM wanajua wanapoteza Igunga. Ndo maana wanampeleka mwizi wa kura Mkapa akaokoe jahazi kwa wizi.
Aliua Zanzibar anataka aue na Igunga.
This time atafulia tu.
Magwanda msikimbie jamvi keshokutwa
Wabeja sana!
Magwanda msikimbie jamvi keshokutwa
kila la kheli makamanda huko tuko pamoja cdm juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu