UPDATES: Kutoka Baraza Kuu la CHADEMA - Diamond Jubilee Hall

UPDATES: Kutoka Baraza Kuu la CHADEMA - Diamond Jubilee Hall

Unajua kuwa huko ulikoanzia umaduni wa cap, ni utovu wa nidhamu wa mwisho kuzungumza na mtu katika sehemu yoyote formal ukiwa umeivaa?

Utamaduni umeanzia wapi zaidi ya kwetu ndo kuna jua, wao wamemodify tu acha kuwaona bora na kuhisi kila kitu wameanzishawao tu
 
mkuu kuna kitu, umesahau kuwa cdm wakiongozwa na mheshimiwa Zitto Kabwe wanawachochea wanachi wa Mtwara kuhusu gesi?
Watu wa kusini sio matutusa hawawezi kudanganyika na porojo za siasa ndio maana kauli mbiu yao inasema "gesi kwanza siasa baadae" hawana mahaba na wanasiasa.Pelekeni shingo zenu muone kule sio Arusha.
 
Watu wa kusini sio matutusa hawawezi kudanganyika na porojo za siasa ndio maana kauli mbiu yao inasema "gesi kwanza siasa baadae" hawana mahaba na wanasiasa.Pelekeni shingo zenu muone kule sio Arusha.
Vipi kikwete haendi tena Mtwara maana alimtuma kibaraka wake Mbatia akatibuliwa akamtuma waziri wake akazuiliwa asikanyage jana nasikia ametuma mzee wa kulialia na shemeji yake kikwete(IGP Said Mwema), je bado safari yake ya kwenda huko ipo? tahadhari asiende kuwachekea wana mtwara watamtwanga mishale...
 
picha za nini sasa... au ukiona picha unaelewa mada? acha kunipotezea muda..
Kuna watu huwa siwaelewi humu JF.. kuna wa JF huwa wanaanzisha thread, halafu utawasikia wengine nwakisema... "bila picha hii habari si yakweli, picha ndo ushahidi"... Sasa leo mwingine eti anasema hataki picha kwa sababu yeye hatengenezi albam.... Dah... tuko wa aina tofautitofauti kwa kweli
 
Tishirt bomba hizo zinapatikana wapi?

Mkuu Ziko bomba ila mimi napendelea zaidi Gwanda..Tukivaa hivi tunakuwa kama CCM na jezi zao za kijani..
Ila Wametokelezea kwa Muonekano tofauti kidogo ambao hatujauzoea..Ingawa Gwanda ndo Zinatutoa zaidi Makamanda
 
Moja ya maazimio yaliyofikiwa na kikao kinachoendelea cha kamati kuu, ni kupeleka madaraka ya CHADEMA katika kanda kumi (10) ili kupunguza centralization of power makao makuu.

Huu ushauri ulitolewa hapa jamvini kwamba CHADEMA kama chama kijenge chama katika mfumo wa kimajimbo sasa wameipitisha tuone matunda yake yatakuwaje!
 
Wana JF naona pro CDM wameamua kukalia updates za baraza,vipi hakuna muungwana yeyote mwenye mtambo wa kuingilia mawasiliano ya maongezi ya vikao atupe yanayojiri kikaangoni!!
 
Sisi huku kigoma tumevamiwa,sijui kama tembo wetu kule Moyowosi Kibondo watasalimika
 
Hizo Kanda kumi ni zipi? BTW, Nikitaka kugombea uongozi CDM nifanyeje?
 
Back
Top Bottom