ungonella wa ukweli
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 4,210
- 556
mkuu Zitto yupo na kavaa t-shirt na kapelo,kapendeza sana.sio mbaya ukicheka, nilitegemea hivyo pia lakini sijamuona kwenye meza kuu katika picha zilizowekwa hapa
mkuu Zitto yupo na kavaa t-shirt na kapelo,kapendeza sana.sio mbaya ukicheka, nilitegemea hivyo pia lakini sijamuona kwenye meza kuu katika picha zilizowekwa hapa
Sasa we kwa akili yako hiyo uliyo nayo unadhani Lema amefanya sawasawa?!!
Huu utamaduni wa watu kuvaa cap wakati wanahutubiana umetoka wapi?
Urugaruga tu
Huu utamaduni wa watu kuvaa cap wakati wanahutubiana umetoka wapi?
Urugaruga tu
Huu utamaduni wa watu kuvaa cap wakati wanahutubiana umetoka wapi?
Urugaruga tu
Nembo ikikaa hata kwenye nguo ya ndani utaishusha suruali ili FUBU ionekane Mkuu yaani unahisi hizo kofia ni urembo tu Mkuu. Uko mbali sana na utambulisho wako yaelekea mpaka leo hata wewe mwenyewe hujui kujimarket
Leo lunch umenunua mwenyewe ehhh.....?
Yaani hata hujui maana ya nembo wewe embu tupishe. Haya ujanja ndo upi kwako. Ujuaji mwingine jamani
lete hoja mkuu.. hapa hatutengenezi album za picha....
Unajua kuwa huko ulikoanzia umaduni wa cap, ni utovu wa nidhamu wa mwisho kuzungumza na mtu katika sehemu yoyote formal ukiwa umeivaa?
CHADEMA hakuna dhambi mbaya hapa duniani kama ubaguzi kama kweli ninyi ndiyo mnategemea kura za wananchi ziwapeleke ikulu mbona mnawafukuza wapiga kura wenu kwa sababu ya ubinafsi hamkujifunza kwa kafulila mlimfukuza akaenda nccr akawasidia kupata wabunge watatu kigoma nanyi baado naendelea na ujinga wenu huo wa ndiyo mzee mkiambiwa ukweli mnatukana sasa nyinyi endeleeni kutukana mwishoe mtajitukana wenyewe siasa sio ugomvi inatakiwa anayekataa sera zako umtafute umwambie hoja zako sasa ninyi mnatukana mnafukuza je mtaongoza nani sasa siku isiyo julikana mkiingia ikulu?
Ngoja akusikie huyu bwana
Na huyo Mkapa nae ni Mrugaruga tu japo kuwa yeye walau ana kisingizio kuwa yupo nje, kuna jua kali.
Hawa wa Chadema wanajilinda na mwanga wa taa?
Na kama ni heshima sana kuvaa cap, mmoja wenu ajaribu akiwa kizimbani.