Ngoja... ngoja... ngoja... ngoja........
Taratibu, umeniacha....
Msoma ya ghaibu maana yake nini, na mdandia kishazi matak.o wazi maana yake nini tafadhali.
duuuuuuuu!Tunaambiwa Mungu anasifa ya kuyajua yaliyomo kifuani mwetu, kwa uwezo wake wa kusoma ghaibu. Yaani yale yaliyojificha mawazoni na vifuani mwetu.
Na mwenye uwezo wa kujua anachokidhani Gaijin, si ndo kujipa sifa ya msoma ya ghaibu?!
Huyu anaejaribu kujibu hoja bila ya kuielewa hoja yenyewe inamaanisha nini, yupo katika hatari ya kuumbuliwa na hoja hiyo kama yule anaedandia kishazi (tawi dogo la mti) m.atako yakiwa wazi tu; jiti likimuingia huko, atamlaumu nani?!
It had to take more than one.... And a few "word" to exhale
message sent ... And delivered, tutabaki na vishazi, ghaibu, etc. but it took an honest talk to breakdown the pride of the so called "smart a$$"
the rest ni upepozzzzz
Kumbe uliposema "....fuatilia thread ujue tulianzia wapi hadi kufika hapo" ulikuwa unakusudia kuwa hapa wewe hupo kujadili hoja ya Gaijin kuhusu mavazi , ila upo katika bidii na jitihada za ku-breakdown pride yake?!
Kutokana na post yako hii inaonyesha usivyoweza kuchanganua mambo. Unajifanyia tu ma-assumptions ambayo unakuja kuyapa hitimisho bila hata ya kuthibitisha kuwa hayo ma assumptions yako ni sahihi
Kwanza, unasema ilihitajika "an honest talk" ku-breakdown pride of the so called "smart a$$" bila ya kuonyesha hiyo hiyo "honest talk" iko wapi, au zile assumptions zako zilizokosa punje ya ithibati ndio unazihesabu kuwa ni "honest talk"?
Pili, unahitimisha kuwa "pride" imekuwa broken, kwa ushahidi gani? Au kwa ushahidi wa "because I say so"?
Tatu, the so called smart a$$, by whom?