UPDATES: Kutoka Baraza Kuu la CHADEMA - Diamond Jubilee Hall

UPDATES: Kutoka Baraza Kuu la CHADEMA - Diamond Jubilee Hall

Ahh ahha ah aha hakuna maamuzi yeyote magumu kwa kauli hii hamna kitu hapo, mzike ule ule Tanzania bado sana.

mnataka sana kuniridhisha mie kwanini kauli za viongozi wako huwa zinasema ndugu wananchi...nikiwemo mie we unaakili timamu lkn?sorry to ask u this...

You don't need to regret asking me that, kumbuka tu hata siku moja CHADEMA haitafanya maamuzi kwa shinikizo ama matakwa ya mtu flani bali kwa mujibu wa kanuni,taratibu na katiba ya chama. period
 
Kila la kheri wajumbe wote mlioko ukumbini,ila mtupe japo kiduchu tu yale yanayojili
 
[table="class: Msotablegrid"]
[tr]
[td="width: 145, bgcolor: Transparent"] jimbo
[/td]
[td="width: 66, bgcolor: Transparent"] vijiji
[/td]
[td="width: 114, bgcolor: Transparent"] vitongoji
[/td]
[td="width: 66, bgcolor: Transparent, colspan: 2"] cdm
[/td]
[td="width: 60, bgcolor: Transparent, colspan: 2"] ccm
[/td]
[td="width: 132, bgcolor: Transparent, colspan: 3"] % cdm ushindi
[/td]
[/tr]
[tr]
[td="width: 145, bgcolor: Transparent"] muleba kusini
[/td]
[td="width: 66, bgcolor: Transparent"] 5
[/td]
[td="width: 114, bgcolor: Transparent"] 13
[/td]
[td="width: 33, bgcolor: Transparent"] 3
[/td]
[td="width: 33, bgcolor: Transparent"] 7
[/td]
[td="width: 29, bgcolor: Transparent"] 2
[/td]
[td="width: 31, bgcolor: Transparent"] 6
[/td]
[td="width: 66, bgcolor: Transparent"] 60
[/td]
[td="width: 64, bgcolor: Transparent"] 54
[/td]
[td="width: 2, bgcolor: Transparent"]
[/td]
[/tr]
[tr]
[td="width: 145, bgcolor: Transparent"] muleba kaskazini
[/td]
[td="width: 66, bgcolor: Transparent"] 3
[/td]
[td="width: 114, bgcolor: Transparent"] 7
[/td]
[td="width: 33, bgcolor: Transparent"] 2
[/td]
[td="width: 33, bgcolor: Transparent"] 4
[/td]
[td="width: 29, bgcolor: Transparent"] 1
[/td]
[td="width: 31, bgcolor: Transparent"] 3
[/td]
[td="width: 66, bgcolor: Transparent"] 67
[/td]
[td="width: 64, bgcolor: Transparent"] 57
[/td]
[td="width: 2, bgcolor: Transparent"]
[/td]
[/tr]
[/table]
 
Mkuu, ukiuliza hili swali mbele za watu wengi watakucheka, how come mtu uwe ni Naibu Katibu Mkuu Taifa, bara then usiwe mjumbe wa mkutano mkuu? /baraza kuu!?

sio mbaya ukicheka, nilitegemea hivyo pia lakini sijamuona kwenye meza kuu katika picha zilizowekwa hapa
 
Ninaamini kwamba cdm mnatumia nguvu zenu zote ili muingie ikulu lakini nawambia kwamba CHADEMA KUINGIA IKULU NI SAWA NA NGAMIA KUPITA KWENYE TUNDU LA SINDANO ccm ina mbinu 375 za ushindi na ninyi chadema hata uwezo wa kuweka mawakala nchi nzima hamna hata kama mnao ni choka mbaya ambao hawawezi kulinda kura zenu hadi hatua ya mwisho hivyo nawashangaa mnaosema 2015 mnaingia ikulu pole sana.
 
Kati ya vitu vigumu kabisa kubadilishwa ni imani yake sasa chadema hatuna muda kukubadilisha imani yako ndondosha kama wewe endelea na imani yako tutakutana getini hapo magogoni mnatoka sisi tunaingia....
 
You don't need to regret asking me that, kumbuka tu hata siku moja CHADEMA haitafanya maamuzi kwa shinikizo ama matakwa ya mtu flani bali kwa mujibu wa kanuni,taratibu na katiba ya chama. period

Hizo kanuni na taratibu za katiba ndio zinasema maamuzi yawe rahisi rahisi tuu...basi hakuna tofauti na mnachopingananacho kila siku. Pia nikuweke sawa sio mie ninayeshinikiza maamuzi mazito ni nyie wenyewe na baadhi narudia tena baadhi ya viongozi wenu ndio mnakuja humu kutueleza udhaifu wenu. Na kisha mnaitisha mikutano na kunadi mtafanya maamuzi magumu ndio maana nasemaa na yawe magumu kweli sio kufanya mepesi mepesi kisha mnakuja na hoja za maamuzi magumu.

Narudia hakuna maamuzi magumu ni mziki ule ule kasoro rangi na tishirt hamana jipya TZ..we still need to wait sanasana.
 
Ninaamini kwamba cdm mnatumia nguvu zenu zote ili muingie ikulu lakini nawambia kwamba CHADEMA KUINGIA IKULU NI SAWA NA NGAMIA KUPITA KWENYE TUNDU LA SINDANO ccm ina mbinu 375 za ushindi na ninyi chadema hata uwezo wa kuweka mawakala nchi nzima hamna hata kama mnao ni choka mbaya ambao hawawezi kulinda kura zenu hadi hatua ya mwisho hivyo nawashangaa mnaosema 2015 mnaingia ikulu pole sana.

unaongelea ikulu gani.? Ya watanzani au ya familia yako.?
 
Ninaamini kwamba cdm mnatumia nguvu zenu zote ili muingie ikulu lakini nawambia kwamba CHADEMA KUINGIA IKULU NI SAWA NA NGAMIA KUPITA KWENYE TUNDU LA SINDANO ccm ina mbinu 375 za ushindi na ninyi chadema hata uwezo wa kuweka mawakala nchi nzima hamna hata kama mnao ni choka mbaya ambao hawawezi kulinda kura zenu hadi hatua ya mwisho hivyo nawashangaa mnaosema 2015 mnaingia ikulu pole sana.

Una mawazo ya Kike sana,
 
Hakuna kulala mpk kieleweke!

Ianzishwe opereshen twanga kote kote!
 
Wamependeza sana mkuu vipi kuhusu mapato na matumizi na je yule bingwa wa kujikopesha pesa za umma amelejesha pesa au ameomba aongezewe muda wa kulipa pesa zetu naomba jibu mkuu,
mkuu mbavu sina,nani huyo bingwa? Alishindanishwa na nani?
 
Wakuu yule Kamanda aliyepewa Onyo kali na BAVICHA Burton Gwakisa leo amezua Zogo Diamond Jubilee Hall kwenye Mkutano wa Kamati kuu kwa kutaka kuingia kama Mjumbe wa Kamati kuu wakati hana nafasi hiyo.

Aliyemtambua ni mmoja wa Vijana waliokuwa wanahudumia wageni mapokezi.

Picha lilikuwa hivi..,jamaa alifika then akataka kusign kwenye kitabu cha wageni..,ndipo jamaa alipomhoji kuwa kuwa anaingia kama nani..,ndipo Red Brigade walipomtoa mpaka getini..

Hahahaaaa alikuja kufanya nini sasa! Masalia wanahangaika sana! Wanaogopa Tamko la Baraza kuu la chadema!
 
Back
Top Bottom