Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 755
Use.nge. mtupu unaongea na mtu aliyekufukuza kazi ili iweje? kwanza hao wanaojiita mawaziri wa afya wanafanya nini hapo agenda ya kwanza ingetakiwa kufukuzwa kwa watendaji wooote wa wizara ya afya pamoja na waziri mkuu...then kikao ndio kianze lasivyo ni up.uuzi tu. ulimboka ndio anatakiwa kuwa waziri wa afya