Meitinyiku L. Robinson
JF-Expert Member
- Aug 29, 2011
- 412
- 90
Tupe source ya hizo habari pliz
Platozoom its straight from the Parliament ndgu! TBC1 sorry for any inconveniences caused
Tupe source ya hizo habari pliz
Labda tu nikujuze kidogo.
Kumbuka kuwa duniani kooote hospital za jeshi ndio hospital kuu na mara zote zinakuwa na kila kitu na wataalamu wengi sana na wenye uwezo mkubwa na zinakuwa ni za rufaa. Hata viongozi wa nchi wakiumwa mara zote wanatibiwa katika hospital za kijeshi kutokana na usalama na weledi wa maDr wao.
Nakumbuka hata Tz , Jeshi lilisomesha sana madaktari wake enzi hizo na kuiimarisha hospital yao ya lugalo.
Pasi na shaka yoyote huko Tz lugalo ni hospital ya rufaa pia kijeshi. Hakuna mtu anayeweza kupewa uhamisho toka lugalo kwenda muhimbili kwa matibabu zaidi.
Hata mgomo wa 2003 wa madaktari hao hao wa Lugalo walishika muhimbili na kuiendesha mpaka mgogoro ulipoisha
Chunguza hilo.
huyo barubaru achana nayeUNAOTA?
Unajua Lugalo wanapeleka cases Muhimbili?
Unachotaka kusema ni nini? Kwamba wanajeshi walisaidia kutibu pale madaktari waligoma!?Unajua kwa mfano madaktari wa jeshi walipoenda Muhimbili, waliingia na jeuri ya amri za kijeshi, manesi waliwadindia maana hawajazoea amri bali majadiliano na kushauriana na madaktari (consultations). Ndi sababu pia kwanini madaktari wa jeshi walishindwa.
Usipotoshe watu! Hajaongelea chochote juu ya kufumuliwa wizara ya afya.
Na alitumia ubabe eti anawafuta kazi. Sasa ananyenyekea anataka kuongea nao nini? P****f sana uyu jamaa. Anacheza na fani za watu. Wanajeshi wake wako wapi alojifanya anawaleta kukava nafasi ya madaktari. F**la sana huyu bwanasi alisema analeta madaktari wa jeshi huyu kinachomuwasha kuja kuongea nao ni nini?zee zima ovyooo
Ni kweli, Mponda, Nkya, Nyoni na Mtasiwa kwenda na maji!.
Vipi bana.............mbona unaharaka sana!!!
Hebu angalia hizi sura hapa!!!
Mimi nashauri ni lazima waTz murejee katika mila na desturi zenu na kuachana na hizo za kizungu.
Nakumbuka toka zamani kulikuwa na kuto kuelewana kunakoweza kutokea katika jamii mbali mbali mfano wakti nipo Chuo kikuu UDSM tulikuwa tuna mogogoro mara kwa mara na chuo au na Serikali. Lakin mila zenu ilikuwa wanafunzi woote mnakusanyika pale Nkuruma hall na viongozi wanakuja na kukaa kitako kuanza kujadili matatizo yenu mpaka mnafikia kukubaliana na baadae mnarudi darasani.
Siku zote viongozi walikuwa wepesi kufika na kuongea na wanafunzi na kutatua migogoro kwa njia ya majadiliano mezani na sio kuandamana.
naona sasa utamaduni huu huko Tz umepotea kabisa. Viongozi wanajiona ni miungu watu hawataki kabisa kuwasikiliza wanaowaongoza na kupenda kutumia ubabe katika kutatua migogoro.
hakika ubabe na ubinafsi ni sumu sana katika uongozi. Kiongozi kumbuka bila kuwa na unaowaongoza wewe huwezi kuwa kiongozi. Na mnaongozwa acheni lugha za kebehi na kashfa kwa viongozi wenu. Hishma ni muhimu sana na utii wa sharia zenu mlizojitungia.
Nawasihi tena waTz rudini kwenye mila na desturi zenu za kukaa kitako na kujadili matatizo yenu mezani na sio kwa kuandamana na kutusiana.
Loh naifananisha Barza ya JF sawa na Mzee Punch wa Udsm enzi hizo.
UNAOTA?
Unajua Lugalo wanapeleka cases Muhimbili?
Unachotaka kusema ni nini? Kwamba wanajeshi walisaidia kutibu pale madaktari waligoma!?Unajua kwa mfano madaktari wa jeshi walipoenda Muhimbili, waliingia na jeuri ya amri za kijeshi, manesi waliwadindia maana hawajazoea amri bali majadiliano na kushauriana na madaktari (consultations). Ndi sababu pia kwanini madaktari wa jeshi walishindwa.
Asipoondolewa Blandina Nyoni na Deo Mtasiwa mutakuwa munatwanga maji kwenye kinu. Saa hizi wenzenu wako kwenye mchakato wa wa kuingiza kitendanishi kingine cha kupimia VVU kwa njia za kifisadi baada ya kukisimamisha kile cha SD Bioline.
CPL lakini pameshajaa.