Duh leo mvua ni tangu alfajiri mpaka sasa. Mimi bado niko ofisini nachapa mzigo nitatoka mida ya saa 2.15 hivi kuitafuta Tabata nafikiri muda huo hali itakuwa shwari kiasi.
Mkuu mshana wazimu wa issa umenifanya nicheke sana!
Hahaha niko hom wala hakuna folen
Man mimi niko Ilala timing nzuri kama una usafiri binafsi toka huko saa tatu, hii foleni ya kutoka kariakoo mpaka buguruni ni noma, nimeamuwa kupark gari ilala napunguza foleni na kinana baridi.
Ndo kwanza nimepigwa-pin posta
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nipo Sinza Madukani kitu hakiendi kabisa, nimebanwa na mkojo balaa Natamani niache Gari nishuke nikakojoe, sina wa kumuachia Gari. Yaani ni adhabu juu ya adhabu
Hahaha niko hom wala hakuna folen
Hahaha niko hom wala hakuna folen
Nipo Sinza Madukani kitu hakiendi kabisa, nimebanwa na mkojo balaa Natamani niache Gari nishuke nikakojoe, sina wa kumuachia Gari. Yaani ni adhabu juu ya adhabu
mdau me tangu saa 10 nipo nyumban,kwa sasa folen inatembea,nasubiri ITV watasema nini?