Habari wadau!
Nilisikia kuwa Mh. Waziri wa Ujenzi leo atafanya kikao na Wanahabari pale Idara ya habari maelezo kuanzia saa 3 asubuhi, please naombeni updates kwa mlio karibu

nimekuja mbio, najua nitapata updates wapi..............!!!:A S 39:
haahahahaaa!! jamaa alikuw anaomb apatiwe updates.,daah pole lkn
Magufuli ni MCHUMIA TUMBO.