UPDATE: Vifo vya Ajali Ngaramtoni vyafikia 25

Maiti zimesachiwa vibaya sana kwa Dhiki iliyopo Nchini kwa sasa.
Sidhani kwamba suala la kusachiwa ni suala la umaskini na dhiki tu bali ni mmonyoko wa kimaadili.
Kwani kuna wengi wana hali nzuri na wanaiba na kutotosheka.Pia kuna watu ni maskini lakini hawachukui cha mtu na wana uadilifu wa hali ya juu.
Wizi na uporaji sio jambo la umaskini tu bali pia ni hulka ya mtu husika.
 
Kusachi Maiti kumezidi sio swala la Maadili tena ni Survival na sasa Arusha Wizi na Ukabaji umeongezeka sana.
Kunapokuwa hakuna ajali na maiti za kusachi wana survive vipi hao wanaongejea kusachi maiti ili wa survive?.
Wizi na ujambazi ni tabia za watu ndio maana huwa matukio hayo hayataisha hata kwenye Nchi zilizoendelea.Ni kutaka kupata vipato kwa njia haramu.
 
Wizi ukabaji umeongezeka mara dufu kwasababu Maisha yamekuwa ni Magumu sana Arusha hebu uliza hata wenyeji watakuambia wezi wamekutwa wakila kiporo Arusha.
 
Kunapokuwa hakuna ajali na maiti za kusachi wana survive vipi hao wanaongejea kusachi maiti ili wa survive?.
Swali la kijinga sana na nimekujibu sema wewe unaweka Ushabiki wa kiCCM.
 
Utingo wa Lori lililouwa Watu 25 Arusha amesema ilibidi atoe kichwa dirishani na kuwatangazia Watu Gari imefeli break

Utingo amewaambia Waandishi wa habari kutoka Kenya gari ilikuwa vizuri kabisa hadi walipofika eneo la tukio Dereva akasema break hazikamati

Source Upendo TV

My take; Honi nayo ilifeli nadhani
 
Swali la kijinga sana na nimekujibu sema wewe unaweka Ushabiki wa kiCCM.
Licha ya wezi wa tatu mzuka unaofanywa na waendesha pikipiki wizi upi umeongezeka?Unaijua Arusha wewe au unahadithiwa?Mimi ni mwenyeji tena wa kuzaliwa Arusha.Katika miaka ya karibuni Arusha ujambazi umepungua sana.Wamebaki wakwapua vibegi na wezi wa kuiba nguo kwenye kamba.
Wezi wa kuvunja nyumba kwa kutumia jiwe la "fatuma" mara ya mwisho kuisikia Arusha lini?Wizi wa silaha mara ya mwisho kusikia Arusha lini? Wezi waiba magari mara ya mwisho kuwasikia lini?Wachana na hearsay . Arusha imetulia sana.
 
Licha ya wezi wa tatu mzuka unaofanywa na waendesha pikipiki wizi upi umeongezeka?Unaijua Arusha wewe au unahadithiwa?Mimi ni mwenyeji tena wa kuzaliwa Arusha.Katika miaka ya karibuni Arusha ujambazi umepungua sana.Wamebaki wakwapua vibegi na wezi wa kuiba nguo kwenye kamba.
Wezi wa kuvunja manyumba kwa kutumia jiwe la "fatuma" mara ya mwisho kuisikia Arusha lini?Wizi wa silaha mara ya mwisho kusikia Arusha lini?Wachana na hearsay . Arusha imetulia sana.
Wananchi wenyewe wa ARUSHA juzi kwenye Mkutano wa Nabii Lema walikuwa wanasema UKABAJI na WIZI umeongezeka lakini wewe unaleta ushabiki.
 
Wananchi wenyewe wa ARUSHA juzi kwenye Mkutano wa Nabii Lema walikuwa wanasema UKABAJI na WIZI umeongezeka lakini wewe unaleta ushabiki.
Umeongezeka kwa kipimo kipi?Ukilinganisha na miaka ya nyuma Arusha wizi na ujambazi umepungua sana.
 
Nikisemaga madereva wengi wanaondesha magari tz ni wendawazim,huu ndiyo uwendawazim wao

Ova
Mimi nafikiri wangeanzisha MOT pindi gari mpya ikivuka miaka 4 tu inaanza kukaguliwa kila mwaka na kupewa certificate kama imepasi kila kitu na serikali ndio wawe na ukaguzi huo kwa gharama za kuendesha madereva watalipa hata laki 2 kwa mwaka
Na magari makubwa kila miezi mitatu yanakaguliwa kila kitu na hata kama matairi yamepita kiwango lazima aweke mapya na akikaidi gari linafungiwa mahali na kila siku anakuwa anadiawa 20,000 mpaka akome
Dawa ya binadamu duniani ni kuhakikisha unamkausha mfuko wake

Nimeenda nchi moja nimeshangaa sana magari yanafungwa jela ndani ya yadi
 
Utingo wa Lori lililouwa Watu 25 Arusha amesema ilibidi atoe kichwa dirishani na kuwatangazia Watu Gari imefeli break

Utingo amewaambia Waandishi wa habari kutoka Kenya gari ilikuwa vizuri kabisa hadi walipofika eneo la tukio Dereva akasema break hazikamati

Source Upendo TV

My take; Honi nayo ilifeli nadhani
Dereva alipiga honi na kuwasha taa kubwa na hazard, nao wakawa wanampigia honi na kuwasha taa huku wakiona hilo lori limebeba katapila na linakwenda kasi sana.
 
Mbona watu wapotoshaji sana mtaani. Kwamba ajali imehusisha coaster iliyobeba watalii Na hilo lori?
 
Mbona watu wapotoshaji sana mtaani. Kwamba ajali imehusisha coaster iliyobeba watalii Na hilo lori?
Hakuna Coaster ya watalii. Kulikuwa na Coaster ya shule ya New Vision ambao walikuwa na wafanyakazi wazungu, raia mmoja wa Togo aliyekuwa kwenye mafunzo na wazungu wengine kutoka Ulaya na Marekani.Wamefariki 3 na wengine wamejeruhiwa na wanatibiwa katika Hospitali ya Mount Meru Arusha.
 
Nimekupata mdau . Ahsante kwa kuliweka sawa.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom