Update Mbali mbali za kazi Ambazo ni Skilled na Unskilled

Update Mbali mbali za kazi Ambazo ni Skilled na Unskilled

Poor Brain

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
28,865
Reaction score
58,674
Usilipe pesa kupata kazi mtandaoni*
KWA SABABU ⬇️⬇️⬇️

Nimejitolea kumsaidia kila kijana mwenye uhitaji na kazi bila kujali elimu yake

kwa sasa nitaposti kazi zote kwenye huu uzi na ni bure kabisa hakuna pesa za udalali

kuwa karibu na huu uzi kisha niambie upo wapi na unaweza nini

KUMBUKA

Hakuna garama yoyote ushindwe wewe kuchagua kazi

1694903622398.jpg
 
Huyu jamaa anazidisha stress kwa jobseekers mods angalieni hili na thread zake za kipumbavu ziloendana na jina lake
 
📍 BUGURUNI SOKONI
Anahitajika kijana wa kupaka rangi kucha na kuweka kope
Mshahara kwa mwezi laki 3
Anaweza kulipwa hata kwa siku akihitaji
Anahitajika haraka sana leo leo
Mawasiliano 0693600900

📍 KIVURE SHURE
Anahitajika mlinzi wa Lodge kupokea wageni usiku, na kuangalia mazingira ,,
MSHAHARA KWA MWEZI 150K..
Kuingia kazini 12 jioni
Kutoka kazini 1 asubuhi.
Agent fee 30k
Piga simu 0693 600 900
 
🎤Habari wapendwa..mimi Naomba mdada msafi mchangamfu na aliye serious anataka kazi kweli..kuhudumia juice kibanda kiko mazingira ya bar…kula mchana na usiku juu ya ofisi..sehemu za kulala wahudumu zipo ukitaka kuwa unalala hukuhuku wewe tu.malipo laki moja kwa mwezi..kuingia saa moja asubuhi hadi saa nne/5 usiku kutegemea na wateja…changanyikeni kama unaenda makongo juu…Dayoff ni siku moja kila wiki…0680957620
 
🎤 Anatafutwa dereva kwa ajili ya special hire:-

Vigezo:
-Awe na leseni ya Latra
-Awe na leseni hai ya kumuwezesha kuendesha special hire
-Awe na uzoefu na kituo chake cha kazi kijulikane
-Awe na vyeti vya chuo alichosomea udereva
-Awe mwanifu na asiye na historia mbaya sehemu alizofanya kazi

Atume CV yake na viambatanishi kama vilivyotajwa hapo juu kwenye email hii

E-mail: marwakelvin216@gmail.com
 
TANGAZO
●TUNAHITAJI MFANYAKAZI WA MAABARA BINAFSI ILIYOPO HALMASHAURI YA WILAYA YA MTAMA MKOANI LINDI.
MFANYAKAZI ATAPATIWA
•Sehemu ya kuishi
Malipo ni maelewano DM
Mawasiliano.... 0653613512
0628890292
 
🎤Hello anahitajika DOCTOR WA MIFUGO. BAREFOOT INTERNATIONAL LTD


Sifa:
1. Awe na elimu ya Degree
4. Kama anatokea Masasi mtwara atapewa kipaumbele

Kama unahitaji nafasi hii au ndugu yako anaweza kufanya hii kazi tuwasiliane kwa namba.

0765791637
 
🏠 TANGAZO TANGAZO🏠

Shule ya secondary NYABICHUNE iliyopo Mkoa wa mara , wilaya ya Tarime DC, kata ya matongo na Kijiji cha Nyabichune.....

...inatangaza nafasi Moja ya mwalimu mahiri katika masomo ya LITERATURE IN ENGLISH na somo lolote kati ya CIVICS , ENGLISH , HISTORY

Kwa maelezo/ maelekezo zaidi wasiliana na namba hii +255764047915 kupitia what's app

N.B
Awe anafundisha literature in English na somo lingine kati ya English, history au civics
 
🔥🔥🔥🔥
📍 WAHUDUMU WANAHITAJIKA MBEZI KWA YUSUPH

📍 Wahudumu wa kike 10
📍 kazi kuhudumia vinywaji/ na food stuffs
📍 Mashahara 120,000 Tsh - 150,000 Tsh
📍 kula kwa boss
📍kulala kwa Boss

Uwe na muonekano mzuri ✅
Elimu yoyote✅
Customer care nzuri kwa wateja.

Tuma picha fully whatsap
Agent 15 tu chap
0658289114
 
FURSA FURSA FURSA ! ! !
Anahitajika mfanyakazi wa mgahawa
  • Awe mchapakazi mzuri
  • Muda wa kazi ni 3:00 asubui mpaka 4:00 usiku
  • Awe mwanamke
  • Awe mkweli na mwaminifu
  • Awe anaishi maeneo ya karibu na Tabata kinyerezi
  • Awe na uzoefu na kazi za mgahawa
  • Mshahara 150,000/-
  • USIPIGE SIMU TUMA MESEJI TU
NB: Eneo la kazi ni Tabata Kinyerezi Mwisho
Tuma sms namba hii: 0624 058 272
USIPIGE SIMU TUMA MESEJI TU
 
1. Anahitajika msusi wa kiume/kike
anayejua kusuka mitindo yote ya nywele
mshahara 200,000
saloon ipo tabata kimanga
kwa maelekezo zaidi piga simu 0789130924

2. Anahitajika Muuzaji wa duka la dawa
Level (EN ,MA au RN )
DLDM
Jinsia: KE/ME
Location: Kondoa vijijini
📞0623665035
 
🧾 General Ledger & Tax Manager – Chalinze Ceramic Factory
💼 Lead team | Tax audits | CPA Required
📩 Apply: recruitment@twyfordtile.com
🗓️ Subject: Application – General Ledger & Tax Manager (Chalinze)
 
TANGAZO LA KAZI:
KAMPUNI: Sinotan
Mahali: Temeke, Dar es Salaam

Anahitajika store keeper intern mwenye background ya Mechanics eng or Automobile eng - 2 post

Salary: Allowance 350,000 per month

Sifa nan Ujuzi
•Diploma or Degree ya Mechanic engineering or automobile engineering.
•Uzoefu wa kazi katika fani husika

Tuma maombi yako leo tarehe 15/07/2025 sio zaidi (CV na cheti) kupitia: Whatsapp simu: 0765154281
•Au leta moja kwa moja katika ofisi yetu iliyopo Temeke,Sokota.
 
JAMANI AHSANTE SANA
KESHO TAENDELEA KULETA UPDATES MPYA..

NACHOOMBA NISIFATWE PM MALIZANA NA MIMI HAPA HAPA 🫵🫵🫵🫵🙏🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom