Update: Lema kufikishwa Mahakamani Jumatatu

Update: Lema kufikishwa Mahakamani Jumatatu

HUYO RC ni member of Chadema, ni kweli yako, he is just giving a lot of milage to Lema. huyu Lema angefifia kisiasa kama RC angetaka, The other thing nimeifikiria sana na maoni yangu ni kuwapengine ni siasa za CCM kuhakikisha Lema anaendelea kuwa mbunge wa Arusha, and they are leading him to create lots of blunders and in the process anakiangamiza Chama chake. kwa kweli hivi sasa ukitembea Arusha hata zile sehemu alipokuwa na absolute support, watu wameshaanza kumuona kama ni pasua kichwa.

Hizi issues na mambo anayofanya Lema inakidhalilisha chadema and weakens them, na haswa kiongozi Mbowe anayeonekana kuwa Lema ni kipenzi chake na Trouble shooter wake ndani ya chama.

I will always repeat this " Lema is a bigger liability to Chadema" and nobody should be above the party, Chadema ni lazima wakae kikao na wakiweka chama vizuri, kwa kuhakikisha hawa wabunge wanaokivutia chama mabaya na uchafu are controlled.

Umeandika kama mtu aliyechanganyikiwa.Pole sana.Lema atawamaliza mwaka huu.Mtatafutana..!!
 
Mh. Lema anaudhalilisha ukoo wa Lema. Sijawahi kukutana na Lema kilaza kama huyu ndugu yangu Mh. Lema.

Afungwe kwa maslahi ya taifa.
Ulikuwa unaandika wakati upo chooni nini?
 
Wasio na hela wataenda kutafuta...! Wenye hela tutakuwepo mahakamani....mbona wenzio tunakaribia kuvuna halafu wewe ndio unatangaza nafasi ya kazi shambani? au una bustani ya maua...by the way Lima mwenyewe hilo shamba la Lumumba!

Mkuu hiki ni kipindi cha kupalilia kwa tunaoishi arusha . Wewe unalima wapi huko mnapovuna masika hii . Labda utakuwa unalima viroba maana ndio chakula kikuu kwa vijana wa bavicha.
 
HUYO RC ni member of Chadema, ni kweli yako, he is just giving a lot of milage to Lema. huyu Lema angefifia kisiasa kama RC angetaka, The other thing nimeifikiria sana na maoni yangu ni kuwapengine ni siasa za CCM kuhakikisha Lema anaendelea kuwa mbunge wa Arusha, and they are leading him to create lots of blunders and in the process anakiangamiza Chama chake. kwa kweli hivi sasa ukitembea Arusha hata zile sehemu alipokuwa na absolute support, watu wameshaanza kumuona kama ni pasua kichwa.

Hizi issues na mambo anayofanya Lema inakidhalilisha chadema and weakens them, na haswa kiongozi Mbowe anayeonekana kuwa Lema ni kipenzi chake na Trouble shooter wake ndani ya chama.

I will always repeat this " Lema is a bigger liability to Chadema" and nobody should be above the party, Chadema ni lazima wakae kikao na wakiweka chama vizuri, kwa kuhakikisha hawa wabunge wanaokivutia chama mabaya na uchafu are controlled.

Mfano maeneo gani wanayomuona Lema ni pasua kichwa....?
 
Mh. Lema anaudhalilisha ukoo wa Lema. Sijawahi kukutana na Lema kilaza kama huyu ndugu yangu Mh. Lema.

Afungwe kwa maslahi ya taifa.

ww nisawa namaji taka,kwakauli zako zakihuni unamaana walio mchaguwa kuwa mbunge wao hawana akili?omba ladhi tafadhali.
 
safi sana lema kipenzi cha watu npo safarini natota nyumbani utete rufiji naelekea arusha kushuudia wakuu tujitokeze mkuu wa mkoa bure watajuta polisi wanatumika vibaya
 
Mkuu hiki ni kipindi cha kupalilia kwa tunaoishi arusha . Wewe unalima wapi huko mnapovuna masika hii . Labda utakuwa unalima viroba maana ndio chakula kikuu kwa vijana wa bavicha.

I have decided to declare interest....mie huwa nakodi mashamba morogoro...mpaka sasa kuna sehemu washavuna mahindi mabichi (hayo wanayokula dar)..Lengo la kuvuna na kuuza haya mabichi...ni kuwahi mvua hizi ili kupanda mahindi ya unga!
Hiyo ni moja ya other sources of income mbali na employment yangu...naishi dar but kesho nitakuwa Arusha kama vipi tutaonana...
 
Hivi kesho watu hawana shughuli zozote za kuingiza pesa ?? Watu wafanye kazi waache uvivu na kukaa kijuweni .

NB
Nina shamba la maindi nahitaji vibarua kwa ajili ya kupalilia , kwa wale wasio na kazi za kufanya wanaweza kutumia hii fursa kujipatia kipato kwa ajili ya kujikumu badala ya kukaa vijiweni na kuandamana kusiko na msingi huku wakilalamika maisha magumu.

Kiongozi!

Huijui AraChunga nini? Watu wanatengeneza pesa masaa 24. Na ndio maana MAGAMBA wanaililia kiasi hicho. Hiyo kesho kwao ni kama WeekEnd vile. Leo hii watu wanatengeneza pesa ya kesho. UPO?? Kwenye dunia hii bado unazungumzia vibarua wa kupalilia shamba la mahindi, wakati wanzako hapa Arusha tupo kwenye AGRO-MECHANIZATION? Kila kitu ni machine unatutisha na hicho kilimo cha SUBSISTENCE FARMING ambacho kila mwaka mnaipigia magoti serikali iwape mlo!!!

Eti Arusha kuna vijiwe! Hayo ndio matatizo ya AKILI ZA KUSHIKIWA. Poor and Shy Away.
 
Mh SUMU Vipi Na Wewe Umeaidiwa Ukuu Wa Mkoa Nn? Alekuroga Nahic Amekufa. Ckulaumu Kutana Na Aibu Yako Kesho.
 
Jiji la Arusha kesho litarindima pale mbunge wa Arusha mjini na kipenzi cha wakaazi wa mkoa huo Godbless Lema atakapopandishwa kizimbani kujibu mashtaka ya uchochezi aliyofunguliwa kwa amri ya mkuu wa mkoa huo Magessa Mulongo.

Tayari jijini hapa kuna hekaheka kubwa ambapo maelfu ya wafuasi wa Chadema na wananchi wengine wa kawaida wameapa kufurika kesho mahakamani kama ishara ya kumuunga mkono mbunge wao na pia kumuonyesha mkuu wa mkoa huo Magessa Mulongo kwamba vita anayopigana na Lema kamwe hatafanikiwa.

Tayari kuna taarifa pia kuwa wafuasi wa Chadema kutoka mikoa ya jirani hasa Kilimanjaro na Manyara watawasili jijini Arusha alfajiri ya Jumatatu kumsindikiza Lema mahakamani.

Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari na Mbunge wa Kawe Halima Mdee wako njiani sasa wakitokea Dodoma kuja Arusha kuungana na maelfu ya wananchi kumsindikiza Lema mahakamani.

Inasemekana pia tayari kuna malumbano makali kwa makada wa CCM hapa Mkoani ambapo wamemlaumu mkuu wa mkoa kwa kuzidi kumpa umaarufu Lema hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi wa madiwani wa kata zipatazo nne hali inayoipa Chadema ushindi mkubwa kwenye chaguzi hizo.
nimejipanga na video kamera ili wasije wakageuza ukweli kuwa uongo.
 
Mh. Lema anaudhalilisha ukoo wa Lema. Sijawahi kukutana na Lema kilaza kama huyu ndugu yangu Mh. Lema.

Afungwe kwa maslahi ya taifa.

akili za njiwa hizi, kwanini afungwe? anamakosa gani?.
 
Kiongozi!

Huijui AraChunga nini? Watu wanatengeneza pesa masaa 24. Na ndio maana MAGAMBA wanaililia kiasi hicho. Hiyo kesho kwao ni kama WeekEnd vile. Leo hii watu wanatengeneza pesa ya kesho. UPO?? Kwenye dunia hii bado unazungumzia vibarua wa kupalilia shamba la mahindi, wakati wanzako hapa Arusha tupo kwenye AGRO-MECHANIZATION? Kila kitu ni machine unatutisha na hicho kilimo cha SUBSISTENCE FARMING ambacho kila mwaka mnaipigia magoti serikali iwape mlo!!!

Eti Arusha kuna vijiwe! Hayo ndio matatizo ya AKILI ZA KUSHIKIWA. Poor and Shy Away.

Mkuu kweli sikuelewi umeandika nini . Ila nadhani we ni mgeni arusha au hata labda hujawai kufika unaiosoma kwenye magazeti tu. Ungekuwa unaifahamu arusha ndio tungeweza kujadiliana hapa .
 
benaire nimekusoma huu ni wakati wa uko mbozi sasa viongozi wetu wanashindwa kuwasaidia watanzania juu ya aisha kama uduma ya afya nzuri maji safi na salama mfumuko wa bei wanapoteza kodi zetu kudili na vyama pinzani wanatumia kodi zetu hii sio nzuri hata kidogo huu wakati wa ukombozi lema kama mandela tu
 
mkuu wa mkoa anapigana na LEMA au wakaazi wa Arusha ?

Anapigana na watanzania wote waliowazalendo, wenye uchungu na nchi yao. Watanzania wasiopenda kuongozwa na brainwash wapo tayari kupigana vita hii ya kisiasa ili kuleta mabadiliko chanya kwa umma wa nchi hii! Arusha, Kilimanjaro, Mbeya na Mwanza are the lead regions na mifano ya kuigwa.
 
Mkuu kweli sikuelewi umeandika nini . Ila nadhani we ni mgeni arusha au hata labda hujawai kufika unaiosoma kwenye magazeti tu. Ungekuwa unaifahamu arusha ndio tungeweza kujadiliana hapa .

Kwa taarifa yako labda wewe ndio wa kuja. Mimi ni mzaliwa wa Arusha Tengeru. Hayo unayo sema vibarua wa shamba la mahindi, ndio maana nakuambia thas SUBSISTENCE FARMING ambapo ni kwa ajili ya kuganga njaa ya wewe na mkeo/mumeo. Wengine sisis tupo kwenye AGRO- MECHANIZATION. Njoo Oljoro nikupandishe kwenye Tractor ufanye kazi za kwa njia za kisasa sio vijembe vya mkono unavyo tambia watu kwa kuhitaji vibarua.
 
safi sana lema kipenzi cha watu npo safarini natota nyumbani utete rufiji naelekea arusha kushuudia wakuu tujitokeze mkuu wa mkoa bure watajuta polisi wanatumika vibaya
 
Back
Top Bottom