Update: Lema kufikishwa Mahakamani Jumatatu

Update: Lema kufikishwa Mahakamani Jumatatu

Kauli ya msemaji wa CCM Arusha jana ilionesha ni kiasi gani viongozi wa CCM walivyohuzunishwa na hatua ya mkuu wa mkoa kuchafua hali ya hewa kwa kumkamata lema, kufunga chuo na kutoa kauli za vitisho ilhali hakukuwa na ulazima wa kufanya hivyo. Kwa experience yangu na serikali ya Tanzania huyu mkuu wa Mkoa atashushwa cheo chake haraka sana kwa kukiharibia chama
 
Hivi kesho watu hawana shughuli zozote za kuingiza pesa ?? Watu wafanye kazi waache uvivu na kukaa kijuweni .

NB
Nina shamba la maindi nahitaji vibarua kwa ajili ya kupalilia , kwa wale wasio na kazi za kufanya wanaweza kutumia hii fursa kujipatia kipato kwa ajili ya kujikumu badala ya kukaa vijiweni na kuandamana kusiko na msingi huku wakilalamika maisha magumu.

....manina zako!
 
Mh. Lema anaudhalilisha ukoo wa Lema. Sijawahi kukutana na Lema kilaza kama huyu ndugu yangu Mh. Lema.

Afungwe kwa maslahi ya taifa.

Id yako inakuelezea je? Unauza sumu ama unatengeneza?
 
Mh. Lema anaudhalilisha ukoo wa Lema. Sijawahi kukutana na Lema kilaza kama huyu ndugu yangu Mh. Lema.

Afungwe kwa maslahi ya taifa.
Kwani ukoo wa LEMA ni CCM? ninachojua Lema anaidhalilisha CCM.
 
Mh. Lema anaudhalilisha ukoo wa Lema. Sijawahi kukutana na Lema kilaza kama huyu ndugu yangu Mh. Lema.

Afungwe kwa maslahi ya taifa.

Comment yako na jina lako ni sawa! Ukilaza wa Lema uko wapi? Nilikuwa namfahamu Lema mwingine alikuwa afisa maliasili wa mkoa hapo Arusha, huyo anathibitisha kauli yako si ya kweli, alikuwa bomu kinoma na alichukiwa sana na watu hasa wafanyabiashara wa mazao ya misitu. Lema mtu wa watu na kumsema kwa lolote, unawasema wafuasi wake wote. Acha uongo.
 
Wamempaisha Lema bila kujijua.Lema ni Mtu wa Mungu na katika hili Mungu atajiinua ili shetani aumbuke.
 
Arusha tunamthamini sana mbunge wetu kama mtoto mchanga.
Kesho tuko mahakamani kumfariji na kumpa moyo wa kuendelea na mapambano haya dhidi ya udhalimu wa serikali hii katili ya ccm.

May God bless GodBless Lema.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
....manina zako!

Wacha kunywa viroba asubuhi na kuanza kutukana hovyo , narudiia tena kuna kazi ya kupalilia shamba . Changamkia hii fursa badala ya kukaa vijiweni na kushindia viroba huku ukilalamika maisha magumu fanya haraka maana wenzio washatuma maombi ya kazi na nafasi ni chache.
 
Mh. Lema anaudhalilisha ukoo wa Lema. Sijawahi kukutana na Lema kilaza kama huyu ndugu yangu Mh. Lema.

Afungwe kwa maslahi ya taifa.

Na wewe unaudhalilisha ukoo wa sumu...sijawahi kukutana na sumu ambayo haina madhara kama wewe....!
 
Hivi kesho watu hawana shughuli zozote za kuingiza pesa ?? Watu wafanye kazi waache uvivu na kukaa kijuweni .

NB
Nina shamba la maindi nahitaji vibarua kwa ajili ya kupalilia , kwa wale wasio na kazi za kufanya wanaweza kutumia hii fursa kujipatia kipato kwa ajili ya kujikumu badala ya kukaa vijiweni na kuandamana kusiko na msingi huku wakilalamika maisha magumu.

Wasio na hela wataenda kutafuta...! Wenye hela tutakuwepo mahakamani....mbona wenzio tunakaribia kuvuna halafu wewe ndio unatangaza nafasi ya kazi shambani? au una bustani ya maua...by the way Lima mwenyewe hilo shamba la Lumumba!
 
RC anapenda sana kumpa Lema Promo!...Tatizo lao kubwa ni kutokujua kuwa impact yake inasambaa Tanzania nzima tena kwa speed ya light...

HUYO RC ni member of Chadema, ni kweli yako, he is just giving a lot of milage to Lema. huyu Lema angefifia kisiasa kama RC angetaka, The other thing nimeifikiria sana na maoni yangu ni kuwapengine ni siasa za CCM kuhakikisha Lema anaendelea kuwa mbunge wa Arusha, and they are leading him to create lots of blunders and in the process anakiangamiza Chama chake. kwa kweli hivi sasa ukitembea Arusha hata zile sehemu alipokuwa na absolute support, watu wameshaanza kumuona kama ni pasua kichwa.

Hizi issues na mambo anayofanya Lema inakidhalilisha chadema and weakens them, na haswa kiongozi Mbowe anayeonekana kuwa Lema ni kipenzi chake na Trouble shooter wake ndani ya chama.

I will always repeat this " Lema is a bigger liability to Chadema" and nobody should be above the party, Chadema ni lazima wakae kikao na wakiweka chama vizuri, kwa kuhakikisha hawa wabunge wanaokivutia chama mabaya na uchafu are controlled.
 
Hata hawa wa ccm? Ng'ombe anathubutu kutoa matusi mbele ya kadamnasi ya media? Nadhani ni bora ya ng'ombe

DUH.. kumbe wewe unaweza kutukana Umma wa watu na usipigwe ban, Unawezaje kuita watu Ngombe, kuna wengi tuu wanachama wa CCM, na hizi ndizo siasa za Kihuni sinazi Kiharibia the only strongest opposition party. Critisice a person but not a whole nation.
 
Back
Top Bottom