bucho
JF-Expert Member
- Jul 13, 2010
- 5,172
- 3,265
I have decided to declare interest....mie huwa nakodi mashamba morogoro...mpaka sasa kuna sehemu washavuna mahindi mabichi (hayo wanayokula dar)..Lengo la kuvuna na kuuza haya mabichi...ni kuwahi mvua hizi ili kupanda mahindi ya unga!
Hiyo ni moja ya other sources of income mbali na employment yangu...naishi dar but kesho nitakuwa Arusha kama vipi tutaonana...
Karibu mkuu ila mimi huwaga sipotezi muda kwa mambo yasiyo na manufaa kama maandamano yasio na kichwa wala mguu . Sio vibaya ukani pm nikuonyeshe mji na kubadilishana mawazo . Ila angalia usije na sumu nyekundu aliyokuwa nayo saa9 (chemical ali )