Update kesi ya Masheikh wa Uamsho | 27 Aprili 2021: Jamhuri yashindwa kuwasilisha hati mpya yenye mashtaka 11 baada ya mengine 14 kufutwa na Mahakama

Wakristo ndo mnashupalia hili swala wasiachiwe eti wataleta shida...wewe kabla ya kukamatwa walileta shida gan?
Kwenye hili unatuonea sisi wakristo, kwanza kumbuka hawa walikamatwa enzi za JK na Dr. Shein ambao wote no Waislam. Roho mbaya haichagui uwe Mkristo au Mwislamu, mhimu hawa masheikh watendewe haki
 
Nenda ukatoe ushahidi.
 
Itakuwa Samia ana nia ya kuwachia maana wale akina Gwajiporn sio rahisi kutamka Bungeni vile atakuwa walisha mezeshwa maneno ili ionekane ni hoja kitoka kwa Wananchi.
 
Kwani Kikwete aliye wakamata Waislam wenzake na kuwaweka ndani miaka hiyo yote,yeye anasemaje??
 
Kama hujui ama unajua kilichowapata na vp kuhusu familia na mambo mengine ndio nawewe ujifunze jinsi ya kuheshimu sheria, kuepuka kujiingiza katika vitendo vinavyo weza kutafsiriwa kama uvunjaji wa sheria na ukitiwa mikononi ndio utajua umuhimu wa kuishi kwa kufuata utaratibu wa sheria.
 
unau ushahidi wewe acha kuropoka,hauna uwezo wa kuwarudisha oman utabaki kuota tu na chuki za kupandikizwa makanisani.
 
unau ushahidi wewe acha kuropoka,hauna uwezo wa kuwarudisha oman utabaki kuota tu na chuki za kupandikizwa makanisani.
unawajua UAMSHO?
Uamsho - Wikipedia
walianzisha kitu tofauti na mashambulizi ya tindikali na kudai Nchi katika makosa yaliyobaki ni UHAINI tu
au uko kutetea ujinga tu hicho kisiwa waarabu koko watakisikia tu
 
weka ushahidi hao masheikh wa uamsho wako upande wa chama gani.....unaongea uongo,zile cd zao nimewahi kuziona hawakuwahi kukinadi chama chochote bali kuwakusanya wazanzibar bila kujali chama na kudai wajitawale hawataki muungano.

kwa hiyo walichokifanya hicho ni kidogo?
 
CARDLESS, post: 38861380, member: 426307"]
Hao hawatoki mpka kifo chao
[/QUOTE]
wewe si Mungu uijuayo kesho,ww endelea kula ubwabwa wa bakwata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…