Kwenye hili unatuonea sisi wakristo, kwanza kumbuka hawa walikamatwa enzi za JK na Dr. Shein ambao wote no Waislam. Roho mbaya haichagui uwe Mkristo au Mwislamu, mhimu hawa masheikh watendewe hakiWakristo ndo mnashupalia hili swala wasiachiwe eti wataleta shida...wewe kabla ya kukamatwa walileta shida gan?