Wakuu,
Nawasalimu naamini hapa jamii forum ni mahali amabapo naweza kupata information ya kutosha. Kama kichwa cha habari hapo juu nahitaji mashine ya kuprint Tshirt ambayo inatumia karatasi. Kwa maana ya transfer paper na sublimation INK. Pia ningependa kujua kujua upatikanaji wa wino na printer ipi nzuri inayoweza kuprint A4 na A3.
Mahitaji ni kama ifuatavyo:-
1. One heavy duty heat press machine
2. Ink JET PRINTER
3. Upatikanaji was transfer papers both A4 na A3
4. Computerized Embroidery Machine ( Especially Brother)
Mwenye Idea ya upatikanaji wa hivo vitu kwa hapa Tanzania
Mi nadhani keysersoze nipatie namba yako nahitaji tutorial kutoka kwako hata kulipa naweza unifundishe cozi nahitaji kuagizia aina hizo za mashine
mkuu>>>>>0652887010
Tanzania sahau, labda awe nayo mtu abayo ni used, hususan Computerized Embroidery Machine.
Nakushauri ingia mtandaoni uagize kutoka nje tu.
Mimi nataka ya kuprint jezi. Msaada
Mh...natamani nikupe namba yangu ya simu,but nooooo! Kimsingi juzijuzi nimeuza full pakej kit,na eote muda wowote ukitaka nakuagizia tu fasta,risk kwangu,kikubwa unanipa 15% but vyooooote hivyo yani io ink jet printer,heat press ya A3,n.k havizdcbajet ya 1m,pia apo unapata na trabsfer pepa za kuanzia kazi....daaa pole,just pm ur number labda naeza kutana nawe
15% commission ya ununuzi
nimekuwa interested ni capital kiasi gani inaweza kunisaidia kuanza NATO at least basics component for beginner?
Habari mkuu, nahitaji kufungua photoshop. Nataka kujua full package ina vitu gani hususani vya kuanzia. Na bei ya hivo vifaa.
Nitashukuru ukinipa taarifa hiyo , nitakutafuta soon.
Polymer
Hapa ndipo napoipendea jamii forums!! Unakula unakopendelea!!!
Hiyo hapo
computerized embroidery ni expensive sana..
lazima aandae pesa hasa