Mashine ya kuprint tshirt inauzwa ( Heavy duty heat press machin)

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,527
Heshima kwenu wadau..

Nauza T-Shirt heat press, heavy duty, nzuri kabisa for transfers image and logo on T-Shirts, namba na majina kwenye jezi za michezo.. kuprint leso, vitambaa etc

Mpya kabisa haijawai tumika Bei ni usd 430 fixed ambayo ni laki 9 mpaka milioni kutegemea na exchange rate ya siku hiyo,,manufacture anaitwa Adkins, size ni kubwa kabisa A-3.

pia kwa wanaohitaji huduma ya kuprint tshirt za shule, misiba, maofisi, vikundi karibuni sana.. page ya biashara yangu ni

Namba ya simu 0789 18 70 10

Tshirt Garage Mabibo Hostel (@tshirt_garage_mabibo_hostel) • Instagram photos and videos
h3.jpg

0692 275 229

h3.jpg

h4.jpg

h5.jpg

h7.jpg
 
Parts zake zingine za plates, caps, and mugs ziko?

Sent using Jamii Forums mobile app

hii ni heavy duty, comercial standard hainaga mchanganyiko.. zile zenye mchanganyiko ni domestic standard...

use google, youtube for more info.. au tembelea ofisi za watu wanaoprint watakuelewesha ama utaona aina za mashine wanazotumia..

zenye mchanganyiko hazifai kufanya kazi muda wote kwenye busy workshop
 
Dar inaonyesha iko poa sana japo sina hata idea ya namna ya kuitumia

Kuna youtube ama unaweza pata mafunzo mafupi.. mfano kuandika majina kwenye jezi za mpira.. haichukui hata dakika 30 kujifunza na ukafanya kazi
 
Sehemu ya kuja kuiona ni ubungo mabibo hostel
Naomba unipe darasa kidogo. Nje ya hiyo mashine, ni vitu gani vingine vinahitajika mpaka kufikia hatua ya kuprint tshirt, vikombe, lesso, nk?

Maana nisije nikanunua mashine, halafu nikajikuta kumbe nipo nusu tu ya safari ya kufikia hiyo hatua ya kuprint vitu.
 
Kuna maelezo nimetoa kwenye comment niliyomjibu joselela hapo juu.. yana jibu la swali lako.... coment ni hii chini

ni heavy duty heat press, wanaita comercial standard hainaga mchanganyiko.. zile zenye mchanganyiko ni domestic standard...

use google, youtube for more info.. au tembelea ofisi za watu wanaoprint watakuelewesha ama utaona aina za mashine wanazotumia..

zenye mchanganyiko hazifai kufanya kazi muda wote kwenye busy workshop
 
Mkuu inaonekana ni mzoefu wa hizo mashine..Je hiyo unayoiuza ina weakness zipi ukilinganisha na zile kubwa, mfano kuna hii mdau mmoja alikuwa anaiongelea kipindi cha nyuma

1295685_MxA_E6BzOf0.jpg
 
Mkuu inaonekana ni mzoefu wa hizo mashine..Je hiyo unayoiuza ina weakness zipi ukilinganisha na zile kubwa, mfano kuna hii mdau mmoja alikuwa anaiongelea kipindi cha nyuma

View attachment 1773620

Hii uliyoiweka ni screen printing machine... mimi niliyoiweka ni heat transfer machine.

Yaani kwa ufupi zinapishana process ya kuprint tshirts.. tshirts inaprintiwa kwa process zaidi ya 4.. na hizi process zinachaguliwa na mfanyaji kazi kulingana na mahitaji ya kazi ya mteja.. mfano kuweka picha kwenye tshirts.. sio process zote zinaweza.. ndio maana tshirts za msiba mfano ama kampeni tunatumia heat press machine kama nayoiuza ili kufanya image transfer process
 
Ok mkuu nimekuelewa.
 
Umeshindwa kuitoa kwenye box na kuipiga picha vizuri yenye muonekano wa umbo lake kamili, yaani hajulikani kama ni viepson vidogo lakini hata bei haipo
 
Back
Top Bottom