Upatikanaji wa mashine za kuprint Tshirt (Heat Press Machine)

bei kama ni chini ya mil moja basi hiyo ni mchina andika umeliwaaaaaa...mchana kweupeee....au wewe unazungumzia pasi nini coz kuna wanaotumia pasi..ahahaha
 
mi ninayo nimenunua from stahls.. usd 550 kwa term of trade ddp dar.. yaani hapo kila kitu dhl wameniletea ofisini...

hiyo ya milion 4 ni uzushi labda screen printing press maarufu kama ( carousel) hizo ndio gharama sana na embroiders
 
itakuwa used...kwa ushahidi tuu..hebu tembelea...KAY karibu na khimj au stesheni juction..then utaniambia
 
Mkuu heat press machine zinapatikana kenya tena zenye connection ya vikombe, sahani, na kofia.., ila kama haujapata hivyo hii isikusababishe usifanye kazi sababu hata pasi inafanya kazi..

Transfer paper zitakuwepo karibia kila mkoa ukizingatia t shirt za misiba siku hizi zina picha (nadhani anywhere from 1500 mpaka elfu nne)

Printer ya ku-print transfer paper ni printer ya kawaida tu inkjet ila nakushauri nunua epson printer yenye CISS angalia budget yako nadhani p50 na p660 hazipo siku hizi zilikuwa mashine nzuri sana ila sasa hivi kuna t50 ambayo ni kama p50 ingawa epson wametoa l800 (yenye mitungi ya nje) nadhani hii ni laki nane ila sijui utendaji kazi wake.., hii l800 unaweza kuipata Dar ingawa kwa bei nzuri zaidi hiyo t50 nadhani Nairobi ni cheaper..

Wino wa dye ink upo karibia kila mkoa ila wa sublimation kutokana na matumizi sio mengi mwingi utakuwepo Nairobi (ila kumbuka sublimation inks inatua transfer paper tofauti ambayo ni cheaper kuliko hizi nyingine ila wino wake ni bei kubwa zaidi alafu haifanyi kazi kwenye 100% cotton.., inapendeza zaidi kwenye polyester, au mats au sahani n.k,) la ukitumia hio sublimation kwenye polyester haitoki hata ukifua tofauti na hizi transfer nyingine za dye inks...

Embroidery machine angalia mtandaoni as well as budget yako, usisubiri mpaka upate mashine zote ndio uanze unaweza ukaanza na vidogo ukipata order za embroidery una-outsource unafanyia pengine wakati unakusanya nguvu na kufanya research zaidi.., pia since ukitaka kweli kuwa kwenye printing usisahau pia screen printing sababu kazi nyingi unafanya mixer kama ni maneno unatumia screen printing alafu picha unatumia transfer...

Ni hayo tu sio kwamba nipo kwenye printing business.., but I just happen to know...
Hongera na ahsante kwa maelezo mazuri yenye elimu tosha.
 
Kw mtu yeyote anafaham upatikanaji wa heat transfer paper mkoani dodoma, naomba anifahamishe.
 
bei kama ni chini ya mil moja basi hiyo ni mchina andika umeliwaaaaaa...mchana kweupeee....au wewe unazungumzia pasi nini coz kuna wanaotumia pasi..ahahaha

Mkuu mashine zipo nyingi tu zinatoka Dubai na bei iko chini, Tafuta kwenye mtandao wa EBay au Amazon
 
anajisemea tu, milion 4 kwa heat press ni nyingi sana hata mchanganuo wa heat press nampa

heat press price ni usd 300
dhl transport fee ni usd 200
tra kodi wastani usd 100.

jumla usd 600... zidisha wa 2180 hapo unapata bei yake vizuri kabisa...

siku hizi kuna google kitu chochote unajua bei yake haibiwi mtu
 
Wakuu,
Nawasalimu naamini hapa jamii forum ni mahali amabapo naweza kupata information ya kutosha. Kama kichwa cha habari hapo juu nahitaji mashine ya kuprint Tshirt ambayo inatumia karatasi. Kwa maana ya transfer paper na sublimation INK. Pia ningependa kujua kujua upatikanaji wa wino na printer ipi nzuri inayoweza kuprint A4 na A3.

Mahitaji ni kama ifuatavyo:-
1. One heavy duty heat press machine
2. Ink JET PRINTER
3. Upatikanaji was transfer papers both A4 na A3
4. Computerized Embroidery Machine ( Especially Brother)
Mwenye Idea ya upatikanaji wa hivo vitu kwa hapa Tanzania

kuna kampuni inaitwa stahls.. ipo uk wanauza.. kama una jamaa majuu mwagizie
 
kaka upo vizuri ila heat press za combo ni nzuri for gift use, home use, sio nzuri kwa commercial use, zina makosa sana kama kuchoma t shirts na kuungua haraka.

zinakufa haraka.. google for more info.. industrial heavy duty heat press ndio nzuri for t shirt.. zina accuracy

Mkuu heat press machine zinapatikana kenya tena zenye connection ya vikombe, sahani, na kofia.., ila kama haujapata hivyo hii isikusababishe usifanye kazi sababu hata pasi inafanya kazi..

Transfer paper zitakuwepo karibia kila mkoa ukizingatia t shirt za misiba siku hizi zina picha (nadhani anywhere from 1500 mpaka elfu nne)

Printer ya ku-print transfer paper ni printer ya kawaida tu inkjet ila nakushauri nunua epson printer yenye CISS angalia budget yako nadhani p50 na p660 hazipo siku hizi zilikuwa mashine nzuri sana ila sasa hivi kuna t50 ambayo ni kama p50 ingawa epson wametoa l800 (yenye mitungi ya nje) nadhani hii ni laki nane ila sijui utendaji kazi wake.., hii l800 unaweza kuipata Dar ingawa kwa bei nzuri zaidi hiyo t50 nadhani Nairobi ni cheaper..

Wino wa dye ink upo karibia kila mkoa ila wa sublimation kutokana na matumizi sio mengi mwingi utakuwepo Nairobi (ila kumbuka sublimation inks inatua transfer paper tofauti ambayo ni cheaper kuliko hizi nyingine ila wino wake ni bei kubwa zaidi alafu haifanyi kazi kwenye 100% cotton.., inapendeza zaidi kwenye polyester, au mats au sahani n.k,) la ukitumia hio sublimation kwenye polyester haitoki hata ukifua tofauti na hizi transfer nyingine za dye inks...

Embroidery machine angalia mtandaoni as well as budget yako, usisubiri mpaka upate mashine zote ndio uanze unaweza ukaanza na vidogo ukipata order za embroidery una-outsource unafanyia pengine wakati unakusanya nguvu na kufanya research zaidi.., pia since ukitaka kweli kuwa kwenye printing usisahau pia screen printing sababu kazi nyingi unafanya mixer kama ni maneno unatumia screen printing alafu picha unatumia transfer...

Ni hayo tu sio kwamba nipo kwenye printing business.., but I just happen to know...
 
Mh...natamani nikupe namba yangu ya simu,but nooooo! Kimsingi juzijuzi nimeuza full pakej kit,na eote muda wowote ukitaka nakuagizia tu fasta,risk kwangu,kikubwa unanipa 15% but vyooooote hivyo yani io ink jet printer,heat press ya A3,n.k havizdcbajet ya 1m,pia apo unapata na trabsfer pepa za kuanzia kazi....daaa pole,just pm ur number labda naeza kutana nawe

huu ni uongo.. weka mchanganuo heat press bei gani, printer bei gani, siku hizi kuna google hakuna kumdanganya mtu..

hiyo milion unataka kumpiga mtu hapa..
 
Wakuu,
Nawasalimu naamini hapa jamii forum ni mahali amabapo naweza kupata information ya kutosha. Kama kichwa cha habari hapo juu nahitaji mashine ya kuprint Tshirt ambayo inatumia karatasi. Kwa maana ya transfer paper na sublimation INK. Pia ningependa kujua kujua upatikanaji wa wino na printer ipi nzuri inayoweza kuprint A4 na A3.

Mahitaji ni kama ifuatavyo:-
1. One heavy duty heat press machine
2. Ink JET PRINTER
3. Upatikanaji was transfer papers both A4 na A3
4. Computerized Embroidery Machine ( Especially Brother)
Mwenye Idea ya upatikanaji wa hivo vitu kwa hapa Tanzania
Kama bado utaitaji na kwa yeyote anaeitaji anifate kwa namba hii 0742256580 ninazo na being poa
 
Back
Top Bottom