Upatikanaji wa Fremu Kariakoo

Upatikanaji wa Fremu Kariakoo

Kodi zinaanzia milioni moja inategemea na sehemu. Mara nyingi wanapokea ya mwaka mzima. Upatikanaji unatafuta dalali unamueleza biashara unayotaka kufanya halafu anakusaidia kukushauri wapi upate frame maana biashara za kko zimekaa kimitaa kuna sehemu utakuta viatu kwa wingi kwingine kama hiyo unayotaka wewe sasa itabaki chaguo lako ukakae huko kwa wenye underwear wenzio au utakaa popote pale.
 
Ahsante mkuu, hizi chupi na boxer huwa ni mtaa gani wanakuwepo?
Wengi wapo huu mtaa unaoangalia na lango la ddc kuna kamtaa kama ka vumbi sijui kanaitwaje. Kabla ya soko kuungua pia kuna vibanda vilivyozunguka soko vingi waliweka underwear, mtaa wa Narung'ombe pia naona wameanza kuweka maeno ya ukipita mlango wa kuingilia shimoni sokoni. Ila Kko ukipata eneo lolote naamini unauza hizo underwear. Muhimu jiweke karibu na maduka yanayouza vitu vya kike
 
Mbele ya lango la DDC hakuna mtaa wenye vumbi. Utakua umechanganya ramani.
 
Sijachanganya labda sijajua kuelezea. Hapo lango la ddc kuna muuza saa kwa nje kuna mtaa unalami then kuna mtaa mfupi sana wa vumbi unaangalia huo mtaa wenye lami ambao kama utakua unatoka lango la ddc ndio utakua unakutana nao. Ubaya jina ndio siujui.
 
Kodi ya fremu hapa Kariakoo ni wastani wa milioni saba kwa mwezi.

Hicho ni kiasi cha chini.

Kwa kawaida wanapokea hela miezi kumi na mbili.
Acha kumkatisha tamaa kuna jamaa yangu analipa 1.3M kwa mwezi
 
Sijachanganya labda sijajua kuelezea. Hapo lango la ddc kuna muuza saa kwa nje kuna mtaa unalami then kuna mtaa mfupi sana wa vumbi unaangalia huo mtaa wenye lami ambao kama utakua unatoka lango la ddc ndio utakua unakutana nao. Ubaya jina ndio siujui.
Unazungumzia lango gani, pape ukitoka mwendokasi, unapita Posta Bank then lango linalofata la DDC ambalo mbele yake kuna wauza viatu msururu.
 
Kodi zinaanzia milioni moja inategemea na sehemu. Mara nyingi wanapokea ya mwaka mzima. Upatikanaji unatafuta dalali unamueleza biashara unayotaka kufanya halafu anakusaidia kukushauri wapi upate frame maana biashara za kko zimekaa kimitaa kuna sehemu utakuta viatu kwa wingi kwingine kama hiyo unayotaka wewe sasa itabaki chaguo lako ukakae huko kwa wenye underwear wenzio au utakaa popote pale.
Mkuu nimepokea changamoto humu..kuhusu vilemba vya kutoa mtu pesa ili akuachie flemu na ushindani wa kibiashara kwa njia ya kichawi hahah.. nipe muongozo
 
Hiyo kuachia frame ipo sehemu nyingi tu za biashara sio kko peke yake. Unamlipa mtu akuachie frame halafu unamalizana na mwenye jengo kuhusu kodi. Uchawi sijui kwa maana mimi sifanyi biashara kko ila watu wangu wa karibu wanafanya biashara kko na mambo ya ushirikina hata mtu hawezi kukushirikisha. Ila kibiashara naona wako vizuri. Mmoja yeye ila hana frame yuko na stoo tu anauzia watu wengine.

Waswahili wanasema raha ya ngoma uingie ucheze. Kwahiyo na wewe usiogope changamoto za kusikia nenda kapambane tu mengine utayajua ukiwa ulingoni huko na utapata njia ya kuyatatua
 
nashangaaga sana watu wanatafuta fremu kariakoo,huwa najiuliza kwani mpaka ufanikiwe lazima huishi dar?nakupa maujanjatafuta fremu dodoma then pafanye hapo ulipochukua hiyo fremu kama kariakoo yani chukua bidhaa kwa wingi huko kariakoo kwenu zimwage dodoma,matangazo kibao na kuhakikishia utapiga pesa nzuri tui
Acha kufananisha karikoo na Dom.Karikoo inakusanya mpaka raia wa nchi jirani kama malawi,zambia,kongo.Kikubwa uchaguz mzur wa biashara yakufanya
 
Naelewa Kariakoo ni sehemu yenye ushindani katika umiliki wa fremu na pia gharama kubwa ya kulipia rent.

Nataka nijikite katika biashara ya underwear (chupi, boxer, sox..etc). Ningependa kujua ni njia gani ya kufanya kupata fremu k.koo.

Changamoto zipi nitakutana nazo wakati wa process ya kupata fremu. Kodi ya pango inakuwa katika wastani wa bei gani.

Mengine zaidi...etc

Karibuni.
upatikanaji wa flame kko kuna utofauti yaan flame zinazoangalia mtaa yaan za mbele bei huwa ni laki 8 adi 1.5ml unategemea na ukubwa kuna flame za ndan kwenye coldo bei zake huwa ni laki 4 adi laki 6 na kuna flame za juu ambazo bei ni laki 3 adi 3. 5 inategemea na mtaa umechangamkaje sasa ishu kwenye kupata flame kama unamvu mtu yaan kun mtu alitangulia anakuuzia kwa bei ya maelewano ila sio chini ya 30ml adi 60ml inategemea na eneo na unalip kwa mwaka mlinz, umeme, usafi, nk karibu
 
Mungu wangu.......haaaaaaah. bora tubaki mikoani kwetu hahahhah
 
Back
Top Bottom