Upatikanaji wa Fremu Kariakoo

Upatikanaji wa Fremu Kariakoo

nashangaaga sana watu wanatafuta fremu kariakoo,huwa najiuliza kwani mpaka ufanikiwe lazima huishi dar?nakupa maujanjatafuta fremu dodoma then pafanye hapo ulipochukua hiyo fremu kama kariakoo yani chukua bidhaa kwa wingi huko kariakoo kwenu zimwage dodoma,matangazo kibao na kuhakikishia utapiga pesa nzuri tui
Kkoo kuna mzunguko mkubwa sana wa pesa na mwingiliano wa watu mkubwa kutoka ndani ya nchi na nje ya nchi tofauti na mji wa kiserikali wa Dodoma ambao wengi ni watumishi wa serikali hasa baada ya serikali kuhamia rasmi pale, sisemi hakuna biashara lakini mzunguko wa biashara bado ni mdogo sana kulinganisha na Kkoo au miji mikubwa mingine licha ya kwamba kwa sasa serikali kwa kiwango kikubwa inajitahidi sana kuboresha mji huo. Ikiwemo kuwekeza katika miundombinu kama vile barabara, majengo, huduma za maji taka, usafirishaji nk. Kikubwa kwa mfanyabiashara ni kuangalia ulipo mzunguko mkubwa wa pesa japo sio mbaya kwa mtu kuanzisha biashara sehemu na kuanza kukua taratibu hatimae biashara kuwa kubwa.
 
popote biashara inalipa cha msingi ni kuwa na mbinu ya ufanyaji hiyo biashara
 
Sipingani na wewe lakini ukuaji wa biashara hutegemea kwa kiwango kikubwa na nguvu /uwezo wa manunuzi (Purchasing Power) ya wakazi/raia wa eneo husika na maeneo jirani sasa hii huchangiwa kwa kiwango kikubwa na mzunguzo wa pesa uliopo biashara hainzishwi ikakua tu usiku kucha kuna viashiria au vichocheo vya kusababisha ikue .
 
kwni huyo anayetafuta fremu kariakoo kabila gani
 
ni hivi kama sio mkinga fremu ataifunga tu ful stop
Mbona wasukuma (wanyantuzu) wapo vizur sana kwenye mambo yetu yale na wanapambana sana kariakoo aggrey wamejaa sana kwenye phones. Na ata miji mingine so kila kabila wapo vizur ila pasipo kupinga kwa biashara hasa kariakoo lazma UTULIE KISAWASAWA lacvyo unafunga Fremu.
 
Hahhaa..lazima utafute mzizi?
 
Mbona wasukuma (wanyantuzu) wapo vizur sana kwenye mambo yetu yale na wanapambana sana kariakoo aggrey wamejaa sana kwenye phones. Na ata miji mingine so kila kabila wapo vizur ila pasipo kupinga kwa biashara hasa kariakoo lazma UTULIE KISAWASAWA lacvyo unafunga Fremu.
ni hivi kama sio mkinga fremu ataifunga tu ful stop😈😈

tatizo kubwa ni nini? kwenye ushindi wa ki biashara huamua kurushiana ndumba au hata kwa wasiokua washindani wao?
 
Ndugu haya mambo yaache kama yalivyo ata hao ukiwafuata watakwambia fanya kazi kwa bidii na mtegemee Mungu ila yeye sasa.
Tunduma kuna biashara balaa ila ukienda kichwa kichwa unajikuta mtaji umekata na uelewi imekataje kataje so siri ya biashara ni kubwa sana na ukumbuke eneo kama kariakoo kuna mchanganyiko wa watu wanaoamn kwa Mungu na wasio na imani kabisa so kama Unaamin kwa MUNGU basi uwe na iman kweli kweli sio tia maji tiamaji tu na kama unaona imani yako kwa MUNGU ni haba tafuta njia ya makete mapema.

Kutafuta mtaji ni kazi ngumu sana usije ukaipoteza kizembe.
 
unatutisha sana mkuu, na unatufanya tutishike kabisa na kuvunjika nguvu
 
Duh mkuu hakuna lead mkuu, labda tutengeneze patnership tuchukue fremu kariakoo..tuchukue mzigo china..mitaji ikikuua..tunaweza tafuta za pekee yetu.

Patnership ndio njia nyepesi ya kuanzia utafutaji, ila kibongo bongo ni ngumu sana,
UAMINIFU hapo ndipo wabongo tunapokwama siku zote.
 
Duh mkuu hakuna lead mkuu, labda tutengeneze patnership tuchukue fremu kariakoo..tuchukue mzigo china..mitaji ikikuua..tunaweza tafuta za pekee yetu.

Target zangu haiendani na idea za biashara ulioainisha, ila acha niendelee kujitafakari mkuu
 
unatutisha sana mkuu, na unatufanya tutishike kabisa na kuvunjika nguvu
Simtishi mtu ila ndio uhalisia kwenye biashara kuna mambo mengi nje ya kusoma business strategies za darasani.
Mfano kuna watu wapo vizur sana kwenye mining na wana PHD kabisa ila hawawez kwenda kuanzisha machimbo mpaka WAROGE sasa je hawajui njia za kufanya mining?
 
Hivi wa bongo mbona tunaamini Sana uchawi wakati HAUPO?. Elimika mkuu maana umeshikia bango mambo ya ndumba kwenye biashara wakati hayo mambo hayana ukweli wowote.
 
Inategemea na maeneo! Kwaiyo biashara yako ya nguo lazima upate mitaa husika, mi mwenyewe niko Kariakoo ila hapa Gerezani kwa fremu za ndani huku tunalipa 300,000/= kwa mwezi.

Kule Congo, sikukuu na Swahili fremu kufika milion 1 nakuendelea kwa mwezi ni kawaida sana.

Gerezani ipi mkuu unalipa 300,000?

Labda chochoro
 
Back
Top Bottom