Upatikanaji wa Fremu Kariakoo

Upatikanaji wa Fremu Kariakoo

Hivi wa bongo mbona tunaamini Sana uchawi wakati HAUPO?. Elimika mkuu maana umeshikia bango mambo ya ndumba kwenye biashara wakati hayo mambo hayana ukweli wowote.
Kama haupo endelea kuamn ila sie ambao tumeingia kitaa kitambo tunajua kuwa uchawi upo na kwenye biashara na kilimo inatumika kwa 80%+.
Wakati namaliza chuo nilikuwa na imani kama yako ila kilichonikutaga ni siri yangu.
Wafanyabiashara wakubwa asilimia zaid ya 80 wanatumia ndumba kwenye biashara zao na ata wakulima wakubwa wanaloga na sio siri wengne wanafanya kafara pasipo ata kuficha (Nmeshuhudia hyo).
Jichanganye ukafungue biashara maeneo haya kama upo flat utakuja ujute:
Kariakoo
Tunduma
Makambako
mbeya
ifakara (hayo maeneo ninazo experience nazo).
Kanda ya ziwa kule nako usiseme.

Kama unaamini Mungu yupo ujue na upande wa pili upo pia.
 
Duh nimesoma hali nimepata chills
 
HAKUNA UCHAWI acha ushirikina mkuu, tia juhudi kwenye kazi utafanikiwa acha Imani za kishamba.
 
Hujui mafanikio yangu so kaa kmya na hujui ata nafanya nini kwa sasa, Ila siku ukiingia kwenye biashara rasmi utakuja uelewe kama unaamn katika Mungu amin kweli ila hyo ushirikina ndio matajiri wanaosifiwa na wanaowaajir wanatumia.
Jaribu kwenda kufanya Baishara ya Gems or Gold au uchimbaji kavu kavu utakuja usimulie.
Watu wanaElimu kubwa mpaka PHD alaf unakuta bado wanaLoga na hzo unakuta ni PHD za biashara.
Usione watu wanamajumba or biashara za maana wanakwambia fanya kazi kwa bidiii na wewe unaamn mtu hawez kusema kwa watu kuwa mafanikio yangu ni Kuloga ila lazma aseme tu kuwa fanya kazi kws bidii ila siri anaijua yeye.
 
Watu hawaamin kama uchawi upo wakat hao wanaomiliki biashara kubwa town wengne tushaoishana nao kwenye utafutaji na wanakwambia "DOGO pambana maisha haya kila mmoja ana siri yake" Mm nilikuwa naamn kuwa biashara kutoboa ni mbinu za darasan tu ila nilivyoendaga Tunduma ndio niliamn kuwa uchawi upo na makambako matajiri waliokuwaga pale kpnd naenda wengne sasa hv wamefungua maduka makubwa ya Nguo kariakoo na majamaa michawi hatar alaf uniambie hakuna ushirikina.

Wewe kama unaamn kwa MUNGU amn kweli kweli usiwe tia maji tiamaji.
Haoaho wanaokesha kwa waganga ndio wachangiaji wazur kwenye Nyumba za ibada huku watu wakizid kuamn kuwa wana iman kama wengne kumbe wamejifichia tu.
Hii Dunia iachen tu maana ata vitabu vya iman vimeandika uchawi upo sasa sisi tutakataaje itakuwa ata vitabu vya dini husomi.
 
Hujui mafanikio yangu so kaa kmya na hujui ata nafanya nini kwa sasa, Ila siku ukiingia kwenye biashara rasmi utakuja uelewe kama unaamn katika Mungu amin kweli ila hyo ushirikina ndio matajiri wanaosifiwa na wanaowaajir wanatumia.
Jaribu kwenda kufanya Baishara ya Gems or Gold au uchimbaji kavu kavu utakuja usimulie.
Watu wanaElimu kubwa mpaka PHD alaf unakuta bado wanaLoga na hzo unakuta ni PHD za biashara.
Usione watu wanamajumba or biashara za maana wanakwambia fanya kazi kwa bidiii na wewe unaamn mtu hawez kusema kwa watu kuwa mafanikio yangu ni Kuloga ila lazma aseme tu kuwa fanya kazi kws bidii ila siri anaijua yeye.
Hao majamaa zako kuwa washirikina haijustify kuwepo Kwa uchawi. UCHAWI HAKUNA, nature tu inafanya kazi yake. Mimi kila sehemu nina excel Kwa sababu moja tu juhudi na kumuamini Mungu.
 
Sema hv siamn katika uchawi ila usiseme uchawi haupo wakati Bible yenyewe imesema uchawi upo na kila siku wachungaji wanapambana na hizo nguvu sasa kukataa na kusema ni nature tu utakuwa hujui ata kwenye imani uliopo.
Alaf weng wanaokataaga kuwa hakuna uchawi ndio unawakuta kila mwez kwa mganga kutafuta madawa.
 
upatikanaji wa flame kko kuna utofauti yaan flame zinazoangalia mtaa yaan za mbele bei huwa ni laki 8 adi 1.5ml unategemea na ukubwa kuna flame za ndan kwenye coldo bei zake huwa ni laki 4 adi laki 6 na kuna flame za juu ambazo bei ni laki 3 adi 3. 5 inategemea na mtaa umechangamkaje sasa ishu kwenye kupata flame kama unamvu mtu yaan kun mtu alitangulia anakuuzia kwa bei ya maelewano ila sio chini ya 30ml adi 60ml inategemea na eneo na unalip kwa mwaka mlinz, umeme, usafi, nk karibu
Flame
 
Mkuu vilemba manake ndio nini?
Vilemba ni pesa unayompa aliekuwa analipia Frame ili uanze kulipia wewe yaan unaenda kwa mwenye jengo na kuchange details kuwa utakuwa unalipia wewe, kama hujatoa hyo unaweza bado ukawa unamlipa mpangaji alaf na yeye ndio anamlipa mwenye mjengo.
Unakuta frame ni 800k kwa mwez so ili uweze kulipia direct unaambiwa toa kilemba may be 20M ili kupunguza chain kumfikia mwenye jengo na wewe cku ukiachia inakuwa hyvo hvyo.
 
Back
Top Bottom