Upatikanaji wa Fremu Kariakoo

Upatikanaji wa Fremu Kariakoo

upatikanaji wa flame kko kuna utofauti yaan flame zinazoangalia mtaa yaan za mbele bei huwa ni laki 8 adi 1.5ml unategemea na ukubwa kuna flame za ndan kwenye coldo bei zake huwa ni laki 4 adi laki 6 na kuna flame za juu ambazo bei ni laki 3 adi 3. 5 inategemea na mtaa umechangamkaje sasa ishu kwenye kupata flame kama unamvu mtu yaan kun mtu alitangulia anakuuzia kwa bei ya maelewano ila sio chini ya 30ml adi 60ml inategemea na eneo na unalip kwa mwaka mlinz, umeme, usafi, nk karibu
Hio 30 million ni fremu kama zipi
 
Hiyo kuachia frame ipo sehemu nyingi tu za biashara sio kko peke yake. Unamlipa mtu akuachie frame halafu unamalizana na mwenye jengo kuhusu kodi. Uchawi sijui kwa maana mimi sifanyi biashara kko ila watu wangu wa karibu wanafanya biashara kko na mambo ya ushirikina hata mtu hawezi kukushirikisha. Ila kibiashara naona wako vizuri. Mmoja yeye ila hana frame yuko na stoo tu anauzia watu wengine.

Waswahili wanasema raha ya ngoma uingie ucheze. Kwahiyo na wewe usiogope changamoto za kusikia nenda kapambane tu mengine utayajua ukiwa ulingoni huko na utapata njia ya kuyatatua
Thanks mimiks
 
Hakuna watu ninao waona wapumbavu na wapuuzi kama hawa ambao mtu akitaka ushauri wa kibiashara wanaanza kucomment Mambo ya kichawi. Makambako kuna uchawi so what??? Kariakoo kuna uchawi ni wewe na Bibi ako ndo mnaloga?

Acheni mtu afanye biashara sio Mambo ya uchawi na imani zenu bakini nazo ninyi masengerema nyie. Mnaboa kinyama.
 
Hakuna watu ninao waona wapumbavu na wapuuzi kama hawa ambao mtu akitaka ushauri wa kibiashara wanaanza kucomment Mambo ya kichawi. Makambako kuna uchawi so what??? Kariakoo kuna uchawi ni wewe na Bibi ako ndo mnaloga?

Acheni mtu afanye biashara sio Mambo ya uchawi na imani zenu bakini nazo ninyi masengerema nyie. Mnaboa kinyama.
Duh kweli aisee...
 
HAKUNA UCHAWI acha ushirikina mkuu, tia juhudi kwenye kazi utafanikiwa acha Imani za kishamba.
Wakati unatia juhudi kwenye kazi kuna mtu anatia juhudi kwenye kuzima nyota zako upande wa pili😅!

Ukiskia dunia ni uwanja wa vita kaa kijanja! Utashangaa miaka inaenda husogei ukija kupata akili miaka 7 mbele wenzio wananunua maghorofa we upo na kameza kako nje😂
 
Hakuna watu ninao waona wapumbavu na wapuuzi kama hawa ambao mtu akitaka ushauri wa kibiashara wanaanza kucomment Mambo ya kichawi. Makambako kuna uchawi so what??? Kariakoo kuna uchawi ni wewe na Bibi ako ndo mnaloga?

Acheni mtu afanye biashara sio Mambo ya uchawi na imani zenu bakini nazo ninyi masengerema nyie. Mnaboa kinyama.
Mkuu hivi vitu hamna mtu analazimishwa kuamini! Vinasemwa kwa sababu vipo na vinaendelea katika maeneo husika!

Ukitaka usilogwe fungua kampuni tu, akili ya kufungua kampuni na kuiendesha hakuna mchawi anaweza kuiloga😅 ila ukifungua duka unalo!
 
Watu hawaamin kama uchawi upo wakat hao wanaomiliki biashara kubwa town wengne tushaoishana nao kwenye utafutaji na wanakwambia "DOGO pambana maisha haya kila mmoja ana siri yake" Mm nilikuwa naamn kuwa biashara kutoboa ni mbinu za darasan tu ila nilivyoendaga Tunduma ndio niliamn kuwa uchawi upo na makambako matajiri waliokuwaga pale kpnd naenda wengne sasa hv wamefungua maduka makubwa ya Nguo kariakoo na majamaa michawi hatar alaf uniambie hakuna ushirikina.

Wewe kama unaamn kwa MUNGU amn kweli kweli usiwe tia maji tiamaji.
Haoaho wanaokesha kwa waganga ndio wachangiaji wazur kwenye Nyumba za ibada huku watu wakizid kuamn kuwa wana iman kama wengne kumbe wamejifichia tu.
Hii Dunia iachen tu maana ata vitabu vya iman vimeandika uchawi upo sasa sisi tutakataaje itakuwa ata vitabu vya dini husomi.
Nilichojifunza kwenye life ni kuwa kutoboa sio rahisi kama tunavyodhani😂!

It takes a lot of time and efforts! Hapo kwenye efforts sasa ndio penye code ya mchomoko 😅 utachagua ukwepe kodi, uende kwa sangoma ama ufanye akili ya shule utajijua mwenyewe.
 
Nilichojifunza kwenye life ni kuwa kutoboa sio rahisi kama tunavyodhani!

It takes a lot of time and efforts! Hapo kwenye efforts sasa ndio penye code ya mchomoko utachagua ukwepe kodi, uende kwa sangoma ama ufanye akili ya shule utajijua mwenyewe.
Extrovert wewe effort unatumia au utatumia ipi hahahah
 
Mkuu yani unakuja on my shoes kabisa! Kadri unavyojitahidi kuwa binadamu the evil tryna mess with your plans
Aisee..we acha tu mkuu. Kipindi nakuwa niliwaza a free, mutual, understanding and pure hearted..kumbe hakuna kitu kama hichho hahahah...
 
You gotta be a wolf mzee cause life is hard!

Death gotta be easy cause life is hard!
Sure ila najua nini mkuu, tupambane hadi mwisho, vile maisha yatakavyo tupeleka na sisi tunapelekana nayo..coz ukijifanya mpole na mwema sana ..hautasomesha watoto
 
Back
Top Bottom