Upatikanaji wa Fremu Kariakoo

Upatikanaji wa Fremu Kariakoo

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,936
Reaction score
3,941
Naelewa Kariakoo ni sehemu yenye ushindani katika umiliki wa fremu na pia gharama kubwa ya kulipia rent.

Nataka nijikite katika biashara ya underwear (chupi, boxer, sox..etc). Ningependa kujua ni njia gani ya kufanya kupata fremu k.koo.

Changamoto zipi nitakutana nazo wakati wa process ya kupata fremu. Kodi ya pango inakuwa katika wastani wa bei gani.

Mengine zaidi...etc

Karibuni.
 
Inategemea na maeneo! Kwaiyo biashara yako ya nguo lazima upate mitaa husika, mi mwenyewe niko Kariakoo ila hapa Gerezani kwa fremu za ndani huku tunalipa 300,000/= kwa mwezi.

Kule Congo, sikukuu na Swahili fremu kufika milion 1 nakuendelea kwa mwezi ni kawaida sana.
 
Ahsante mkuu, hizi chupi na boxer huwa ni mtaa gani wanakuwepo?
 
Inategemea na maeneo! Kwaiyo biashara yako ya nguo lazima upate mitaa husika, mi mwenyewe niko Kariakoo ila hapa Gerezani kwa fremu za ndani huku tunalipa 300,000/= kwa mwezi.

Kule Congo, sikukuu na Swahili fremu kufika milion 1 nakuendelea kwa mwezi ni kawaida sana.
Alafu kuna watu wanataka wadandie kwa kulipa kitambulisho cha elfu Ishirini alafu wapange tu Mzigo eti sababu kuna wateja....

Naam wateja wapo na wahitaji wa kuuza hapo ni wengi ndio maana sababu wote hatuwezi kwenda hapo inabidi bei ituchuje
 
Naelewa Kariakoo ni sehemu yenye ushindani katika umiliki wa fremu na pia gharama kubwa ya kulipia rent.

Nataka nijikite katika biashara ya underwear (chupi, boxer, sox..etc). Ningependa kujua ni njia gani ya kufanya kupata fremu k.koo.

Changamoto zipi nitakutana nazo wakati wa process ya kupata fremu. Kodi ya pango inakuwa katika wastani wa bei gani.

Mengine zaidi...etc

Karibuni.
nashangaaga sana watu wanatafuta fremu kariakoo,huwa najiuliza kwani mpaka ufanikiwe lazima huishi dar?nakupa maujanjatafuta fremu dodoma then pafanye hapo ulipochukua hiyo fremu kama kariakoo yani chukua bidhaa kwa wingi huko kariakoo kwenu zimwage dodoma,matangazo kibao na kuhakikishia utapiga pesa nzuri tui
 
Back
Top Bottom