Upanuzi wa barabara jijini Mwanza

Upanuzi wa barabara jijini Mwanza

WAtu wajiji wanapaswa jiuzulu

Mwanza ni kama hatulipagi kodi miaka ypte, ni kama wananchi hatupo vile
Maji, Barabara na umeme bado ni changamoto
Hili ni tatizo sema jiji linahitaji miundombinu imara kuweza kukidhi mahitaji ya wakazi wa jiji ila ni aibu tupu.
 
Huenda! Kiji linapanuka kwa kasi na wao hawaoni! Watashtukia tu tumezidiwa wakati huduma ziko palepale!
Mji unakua kwa kasi ila miundombinu iko vile vile hilo ni tatizo sijui kwanini hawalioni.
 
Tupia picha tuone hizo sehemu mnazo taka kupanuliwaaa

Ova
 
Back
Top Bottom