Ualimu nayo ni kazi ya kukaa unasubiri uajiriwe kweli?
Anayetaka mkoa mzuri ani pm.
Ualimu nayo ni kazi ya kukaa unasubiri uajiriwe kweli?
Ualimu nayo ni kazi ya kukaa unasubiri uajiriwe kweli?
unataka wajiajili?
mkuu wizara ndo inapangaWadau nlikuwa napenda kujua hv upangaji wa majina kwa ajiri ya post za waalmu ulfanyika? na je wanao husika na upangaji wa ni TAMISEMI au wizara
Wadau nlikuwa napenda kujua hv upangaji wa majina kwa ajiri ya post za waalmu ulfanyika? na je wanao husika na upangaji wa ni TAMISEMI au wizara
anayetaka mkoa mzuri ani pm.
hapo hujatoa jibu pimbi wewe isipokuwa umeonesha dharau kwenye kazi iliyo kufanya wewe ujue kusoma na kuandika huu upup wako mata*o wewe, acha kudharau daraja lililo kuvusha mto kima wewe.Ualimu nayo ni kazi ya kukaa unasubiri uajiriwe kweli?
usijifanye mjuaji wakati na wewe ni kapuku tu ,umeelewa alicho maanisha lakini umejivika ujuaji.TAMISEMI au wizara?
kwani TAMISEMI ni nini mwalimu?