Upangaji wa mikoa kwa waalimu

Realbest

JF-Expert Member
Aug 5, 2013
809
293
Wadau nlikuwa napenda kujua hv upangaji wa majina kwa ajiri ya post za waalmu ulfanyika? na je wanao husika na upangaji wa ni TAMISEMI au wizara
 
Ualimu nayo ni kazi ya kukaa unasubiri uajiriwe kweli?
 
Mim nimemaanisha ualimu co kazi ya kukaa kusubiri uajiriwe kama fani nyingne coz mtaani kuna shule nying na center nying sana za kufundisha.sasa nashangaa nyie maticha mnavonituc bila hata huruma kijana wa watu.
 
Achana naye huyo, yy anafikiri bila mwalm angejua hcho alchokiandika,
 
Ualimu nayo ni kazi ya kukaa unasubiri uajiriwe kweli?
hapo hujatoa jibu pimbi wewe isipokuwa umeonesha dharau kwenye kazi iliyo kufanya wewe ujue kusoma na kuandika huu upup wako mata*o wewe, acha kudharau daraja lililo kuvusha mto kima wewe.
 
Back
Top Bottom