Upangaji wa mikoa kwa waalimu

Inapanga moevt lkn nmeenda jtatu bado hawajaanza kupanga ila wanatakiwa walimu wengi waende lindi,mtwara&katavi jiandae kwenda hko.
 
Mimi nipo wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka mikoa ya Singida au Manyara idara ya sekondari, atakayepangiwa maeneo hayo na anataka tubadilishane ani-PM au kupitia irumba8@gmail.com
 
Back
Top Bottom