We umejuaje wanafosi!?Nahope we good iv kwann ndugu zangu wakristo mnakuwa mnafosi sana mialiko ya sikuku ya eid simu nyingi kuliko wasilaumu kusumbua kwenye sikuku za Christmas au pasaka yan iv simu kama zote zinataka mwaliko wa Eid ila wote ni christian
zakwao zinakuwaga kimya kimya kama vile hakuna sikuku.Nahope we good iv kwann ndugu zangu wakristo mnakuwa mnafosi sana mialiko ya sikuku ya eid simu nyingi kuliko wasilaumu kusumbua kwenye sikuku za Christmas au pasaka yan iv simu kama zote zinataka mwaliko wa Eid ila wote ni christian
Tumeshakubaliana mshamba hachekwi mkuuWakristo walialikwa sebuleni wameingia mpaka chumbani.
Walivyokuwa wanapelekewa viporo vya futari na daku wamezoea na sasa wanaona ni haki yao.
Eti unakuta mkristo anagongea kanzu ili aende akafuturishwe, ni ushamba!
Nionavyo mimi ni kwamba waislamu wana utamaduni wa kula kifamilia tofauti na wakristo, hivyo hawana jadi ya uchoyo. Wakristo chakula kinawachanganya sana!
Kwa hio unataka kusema mkuu? Hujamaliza kusema malizia ulichotaka kusemaNahope we good iv kwann ndugu zangu wakristo mnakuwa mnafosi sana mialiko ya sikuku ya eid simu nyingi kuliko wasilaumu kusumbua kwenye sikuku za Christmas au pasaka yan iv simu kama zote zinataka mwaliko wa Eid ila wote ni christian
Hii research umeifanyia wapi mkuu?Wakristo walialikwa sebuleni wameingia mpaka chumbani.
Walivyokuwa wanapelekewa viporo vya futari na daku wamezoea na sasa wanaona ni haki yao.
Eti unakuta mkristo anagongea kanzu ili aende akafuturishwe, ni ushamba!
Nionavyo mimi ni kwamba waislamu wana utamaduni wa kula kifamilia tofauti na wakristo, hivyo hawana jadi ya uchoyo. Wakristo chakula kinawachanganya sana!
Hahaha ushajikoki tayari unasubiria mualiko tu au sio?Mapilau ya ngamia unayajua utramu wake weyeee??
Jamani mialiko basi Abaya nnalo tayari..!! 😊
Nishanunua pashimina langu na heels za Beyonce 😹😹Hahaha ushajikoki tayari unasubiria mualiko tu au sio?
Hahaha sawa mkuu mialiko inakuja inakujaNishanunua pashimina langu na heels za Beyonce 😹😹
Leteni mialiko hiyo tuje kufinya mpunga..!!
Uchoyo mbaya sanaNahope we good iv kwann ndugu zangu wakristo mnakuwa mnafosi sana mialiko ya sikuku ya eid simu nyingi kuliko wasilaumu kusumbua kwenye sikuku za Christmas au pasaka yan iv simu kama zote zinataka mwaliko wa Eid ila wote ni christian
nyakati hii hata neno "kobaz" linapotea kwa muda, bongo hatari sana 😁Wakristo walialikwa sebuleni wameingia mpaka chumbani.
Walivyokuwa wanapelekewa viporo vya futari na daku wamezoea na sasa wanaona ni haki yao.
Eti unakuta mkristo anagongea kanzu ili aende akafuturishwe, ni ushamba!
Nionavyo mimi ni kwamba waislamu wana utamaduni wa kula kifamilia tofauti na wakristo, hivyo hawana jadi ya uchoyo. Wakristo chakula kinawachanganya sana!
Wakristo kipaombele chao kwenye sherehe zao ni pombe, na waisilamu mnasema hamtumii pombe. Hivyo mnajikosesha mualiko wenyewe.Nahope we good iv kwann ndugu zangu wakristo mnakuwa mnafosi sana mialiko ya sikuku ya eid simu nyingi kuliko wasilaumu kusumbua kwenye sikuku za Christmas au pasaka yan iv simu kama zote zinataka mwaliko wa Eid ila wote ni christian