Upande wa pili wa Edward Lowassa


KUJIUZURU KWAKE NI FUNZO LA UWAJIBIKAJI KTK MAAMUZI UNAYOYAAMINI ULIYAFANYA KWA NIA NJEMA, KAMA KIONGOZI MKUU WA SERIKALI ALIKUWA NA OPTION MBILI, 1. KUKUBALIANA NA MWAKYEMBE'S TEAM KUWA WAKO SAHIHI 100% AND I'M SORRY KWA WANANCHI, BUNGE KWA NIABA YA SERIKALI NA YEYE BINAFSI, BUNGE LINGEJITAFAKARI NA KUJA NA AZIMIO AMBALO 65% LINGEMNUSURU KTK JANGA LA UWAZIRI MKUU.

2. KUIPINGA TEAM YA MWAKYEMBE, KUSIMAMIA MAAMUZI YAKE, KUTOOMBA MSAMAHA KWA WATZ NA BUNGE KWA NIABA YA SERIKALI NA KUCHUKUA MSIMAMO WAKE BINAFSI AMBAO UMEIPA CCM FURSA YA KIUTENDAJI KWA KUMLETA MBADALA WAKE BAADA YA YEYE KU STEP DOWN. AMEFAURU FUNZO LA MWALIMU J.K.NYERERE KUWA UNAPOKUWA KIONGOZI HUPASWI KUWA NA KAULI MBILI AU MISIMAMO MIWILI AU SURA MBILI ZA UONGOZI.... UKIWA HIVYO HUFAIIII...NDIO LINE ALIYOICHUKUA NA NDIO MSINGI WA KUENDELEA KWA MALUMBANO YA RICHMOND NA DOWANS TODATE, NA NDIO MSINGI WA SISI TUNAOAMINI KUWA MH. RAIS ALIFANYA MAKOSA KUKUBALI KUJIUZURU KWA WAZIRI MKUU WAKE KWA IMANI KUWA APATE FURSA YA KUANZA UPYA..... KUMBUKENI KUWA MPAKA SASA SERIKALI YA JAKAYA HAIJAKIRI KUKOSEA KTK ISSUE YA RICHMOND, WANAKIRI UDHARURA WA ISSUE YENYEWE ZAIDI KULIKO TARATIBU....MATOKEO YAKE NI UJIO WA KILIMO KWANZA BAADALA YA ELIMU KWANZA 2005 MISSION........, NDIO MATOKEO YA KUYUMBA KWA UTAWALA WAKE KTK UCHAGUZI HUU ULIOPITA, HAWA WALIKUWA WAMOJA TANGU 1995....... LOWASA WAS LEFT IN 1ST BWM BARAZA BCOZ OF JK CAMPAIGN AGAINST WAZEE WA CCM.........LOWASA ALITULIZANA NA KUTII CHAMA 1997 AKAREJESHWA, 2005 HAKUIGEUKA KAMBI YA RAFIKI YAKE KAMA AKINA MKUCHIKA N.K....


BADO NAAMINI MH.JK MISSES THAT FELLOW WITH WHITE HAIR MNOOOOO....
NDIYE MTU WAKE WA KWELI, WALIOWEZA KUMTENGANISHA NAYE NDIO MAADUI WA LEGACY YA JK NA SIYO LOWASA......

HOFU NI KIVULI CHA LOWASA KWAO WHEN JK ATAKAPOREJEA ZAKE MSOGA KWA MAPUMZIKO BAADA SULUBA NA MATESO ALOYAPATA TOKA KWETU WATZ, SIJUI KAMA HUYU MH. LOWASA ANAMPANGO WA KUMRITHI MH.RAIS J.K KWA NGUVU YOYOTE ILE? KAMA NI UMMA BASI TUUACHIE UFANYE MAAMUZI HAYO WAKATI UKIFIKA ILA KWA SASA TUCHAPE KAZI WAKURU.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.

NAOMBA NIAGE KTK HOJA HII KWA NUKUU WATANZANIA WENZANGU "NO ONE INDIVIDUAL IS BIGGER THAN THIS CLUB. THERE NEVER HAS BEEN AND NEVER WILL BE " LIVERPOOL BOSS KENNY DAGLISH (Mie mnazi wa Bwawa la Maini wakuru)
 
Ndege wafananao ndio wanaruka pamoja, LOWOSSA na KIKWETE uwezi kuwatofautisha lao ni moja. kiutendaji wote ni feeble na mafisadi wakubwa tena marafiki.
Hapa tusilete ushabiki na propaganda za CCM, kusifia pumba kama unataka kutafuta mazuri ya mtu uwezi kukosa hata hawa jamaa ni 'NINCOMPOOP' MAKAMBA na TAMBWE HIZZA mazuri wanayo
 
Umetumwa?

Lowasa anajiandaa kiukweli ukweli kwa ajili ya mwaka 2015,anatumia makanisa,anatumia upenyo ambao wapinzani wanatumia ili pia aonekane anafaa kwani anapinga uozo wa chama chake,anatumia watu wa kila mahali,na hapa anawatumia watu kama mtoa mada ili kubadili mawazo ya watu!

Kampeni zimeanza mapema sana,tuwaangalie kwa umakini watu hawa wanao jidai kuipenda Tanzania wakati kiukweli wanapenda matumbo yao na ya watoto wao tu!
 
Lowasa is better 100 times compared to mkwere! This is a fact

Inapofikia sehemu wananchi wanao ni bora kuwa na kiongozi mwenye misimamo (ata kama ni mwizi) kuliko kuwa na kiongozi mpole (ingawa si mwizi) ujue ile siku imekaribia.....
 
Mi nadhani tunamwonea bure Lowassa...Mwinyi alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani watu walimuona kama shujaa, lakini Lowassa alipojiuzulu watu wanamwona kama failure!!
Mi naona mara 100 afadhali ya Lowassa kuliko huyu tuliye naye sasa ambaye hakuna anayemsikiliza huko serikalini,anatoa maagizo kila wakati lakini hakuna anayeyafuata. Lowassa akitoa agizo analisimamia hadi mwisho. All in all i would rather have a leader ambaye anaonyesha tabia za kuongoza (except wizi,rushwa) kuliko kuwa na kiongozi anayeonyesha tabia za kuongozwa (mfuata upepo).
 

Tumemmiss Lowassa eh???
 
Simshangai huyu bwana kumfagilia lowassa. Arusha kuna wapuuzi wengi sana wanamwona el wa maana.
 
1.Nakubali kuna mambo Lowassa ni good at ila Naomba utuambie unamfanyia comparrison na nani? PINDA,MSUYA.MALECELA nk
2.Tuwekee udhaifu wa hao wengine vs Lowassa ili tukuelewe
 
waliojunga JF 2010s wametofautiana sana!!

You can register with different names as much as you hapa JF! Wewe wa 2008 JF unajiona kigingi
Wenzako wana PhD toka 1980s na hawawazodoi waliopata 2010.
 
mtu hawezi kuwa na sura mbili tofauti mbele ya jamii lowasa ninayemjua hana tofauti na waziri mkuu majivuno aliyetajwa na marehemu Shaaban Robert katika riwaya ya Kusadikika amejaa tadi na inda.:A S 20::sick:
 
Huyo KATUMWA NA LOWASSA

Sasa Mwambie Hv Mungu Atamwathibu kitu ambacho hataamini macho yake.

Anatumia Nyumba za Ibada kujisafisha wakati yeye ni MWIZI na Kama anabisha Mbona Huwa HatAki kuulizwa kuhusu ile hotuba ya Mwl Nyere aliyomchana LIVE kuwa '' UMETOA WAPI MALI ZOTE HIZI''

Nyerere alimpa LIVE jamaaa kabaki Domo wazi

CCM mwekeni LOWASA kuwa Mgombea 2015 ndipo mtakapo JICHIMBIA kaburi wenyewe
 

Ukiwa Tajiri wakati jirani yako ni masikini... na wewe ni masikini tu and you are very likely kuwa in conflict na neighbour wako masikini all the time....

OK labda hivi, ukiwa umeshiba wakati jirani yako ana njaa, you are in trouble, utakuwa kwenye matatizo na jirani yako tu especially akiwa anakuona unakula wakati yeye hana uhakika na mlo... hata kama chakula chako ni cha halali hatakuelewa ataamini umepata visivyohalali inakuwaje yeye hana... na akitokea mtu akakusingizia umeiba ah we acha majirani zako wote wenye njaa na usiomba wakawa wengi watakushambulia...

Sisemi Lowasa ni msafi lah, ila nadhani tunaexegarate tunatumia hisia zetu baada ya kuchanganywa na magazeti...
 
Ni jizi kupindukia,halina huruma na wananchi maskini.lina majivuno makubwa kama jina lake lowasa.li dictator libaya. Kumbuka lilivunja magorofa ya masaki kwa kuwa eti yanazuia upepo kwenye nyumba yake! Sasa tunatakiwa tuwalipe waliovunjiwa nyumba hizi kama sikosei shs.9 billion.to hell, shule zake za kata ni janga la kitaifa, je dowans?!! Nuksi, nuksi hapambiki hata kwa maua ya waridi. Kumbuka baba wa taifa the great mwalimu alivyo lifurusha. Je mmesahau article ya msaidizi wa zamani wa mwalimu mzee kasori?!! Bado yupo muulizeni habari za hili jizi. Uliyetumwa kumsafisha lazima wewe mwenyewe huamini unacho kiandika ila umekula rushwa maana ndio zake kununua vyombo vya habari na wanahabari njaa na uchwara.
Pole sana hatudanganyikiiiiiiiii.
 

Kampeni ya Uraisi 2015.............. umesha-fail kajipange uppya badala ya kumsafisha ndo umetibua nyingo za wadau..... poteza hoja yako ya kuudhi!!!
 


Hiyo red: well said ndugu yangu. (Ingawa kuna sahihisho dogo, nadhani ulitaka kusema popular-ism ikatokea typo) lakini big up. Umaarufu ndio objective na motivation ya Lowassa sio maslahi ya nchi wala nini.

Hizi takwimu na machapisho ya aina hii yaninonyesha kutojiamini na kukosa maono kuona mbele kwa waandishi, kwa sababu ya:-
1. Kukosa uelewa wa kina na yakinifu juu ya uhusiano kati ya Lowassa na hali duni ya uchumi Tz
2. Kutoona madhara ya Janga la Ufisadi wa Tz hivi leo
3. Kukataa kutumia uhuru wa fikra (kufikiri nje ya kundi la wanasiasa waliopo sasa) vs ya Tz mpya siku zijazo
4. Kutawaliwa na Maslahi binafsi dhidi ya Maslahi ya Umma
5. Kupuuza hatari ya Lowasa na watu wake kwa usalama wa Taifa la Tz.

Yapo mengi tu...................ila mwisho wa siku, ukweli ni kuwa Lowassa haifai Tz, hastahili kuongoza hata kijiji na anapswa kusimama mbele ya Mahakama ya Sheria kujibu tuhuma na vitendo vya ufisadi alivyoifanyia jamii ya WaTz na Tz kwa ujumla wake.
 
Hivi baba wa taifa alivyomkataa alikuwa hjui utendaji kazi wa Lowassa? hayo unayotwambia ya shule za kata na njia tatu kupunguza msongamano ni shortcut za serikali baada ya kuona mambo ni magumu kwao kwa kutokuwa na mipango mizuri ya kuendeleza nchi.
Tunahitaji viongozi ambao wanaweka priorities katika maendeleo sio zima moto kama shule za kata, njia tatu, richmond/ dowans.
Lowassa ni mzuri katika zima moto ya mambo si kuandaa mazingira endelevu ya maendeleo
 

Waberoya,
Huo ni msimamo na tafsiri yako juu ya chapisho hili.

Pia sioni kusema (nanukuu) "ku-compare na hawa waliopo..." ni hoja yenye mshiko kwani (standard prcatice) na vision yenu mnajilinganisha na nini?

Sikuelimishi Waberoya, ila unajua wazi kuwa ukitaka kuwa the best katika kitu fulani unajifunza na kujipima na walio the best katika kitu husika. Hujifunzi ujasiri kwa waoga.

Thread hii kama ilitaka kuwa na tija (nadhani kulingana na tafsiri yako) basi alipaswa kwenda mbele zaidi kwa sababu rahisi - kila mtu Tz na kwingineko anajua wazi madudu/udhaifu wa hao watawala hapo Magogoni sasa kwa nini una-compare (sio wewe) wahalifu katika uchafu wao unataka nini?. Ili twende mbele angelinganisha viongozi wa nchi zilipiga/zinazopiga hatua au ampime Lowassa na PMs waliokuwa na +ve impacts katika tenures zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…