Upagani na wapagani

Upagani na wapagani

Je kuna siku ya bahati kama wanavyoadai?

Yaan naambiwa siku flan nikivaa nguo ya rangi flan ntakua na bahati au tarh flan nkifanya kitu fulan kitakua na mafanikio
Hapana kwa huo upagani ninaoujua mimi hakuna kitu cha kufikirika ni pure logics tuu
Aina hiyo unayozungumzia ni ile ambayo imechanganya na imani za ki budha na ki Hindu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom