Upagani na wapagani

Upagani na wapagani

Naomba kuuliza , ninaishi na mtoto wa dada angu ambaye alipotea miaka mingi hatujui kama yuko hai ama alikufa, ila mwanae anatabia mbaya sanaaaaa anamiaka 16 binti ila anapenda wanaume kupita kiasi. Nimchonganishi kuliko chochote, hakuna anaemtaka wala kumuitaji, baba ake bibi zake pandembili wala majirani sababu tuu ya tabia zake. Yaaani kifupi kuishi nae nikujitwika jukum moja kubwa sanaaa. Point ni kwamba nilitaka kwenda kwa mganga nimuulizie tatizo ninini mbona yupo hivyo?. Je! Ntakua nimejiingiza katika ushilikina? Coz sijawahi fanya kituhicho nina 30 na nimeolewa , msaada wako mshana pleasss
Pole ndugu sikushauri kwenda kwa Waganga huko sio hakuna msaada kwa unaempeleka lkn naww pia utajiingiza kwenye matatizo....kama ni Mkristo tafuta mafundisho yanayohusu Mambo ya Asili yakuzaliwa pia....jifunze Kumuomba MUNGU wa kweli Seriously...nahuyo mschana atabadilika nakuhakikishia...lkn unahitaji kumaanisha...sababu kumtoa mtu anaeshikiriwa na hayo maROHO sio kitu chepesi km ww ni Muislam tafuta wanazuoni wa Kiislam watakusaidia lkn kwa waganga ni ushirikina MUNGU wa kweli hapendi MTU wa namna hiyo
 
Hivi na mm ni mpagan?????
Nasali kila siku asubuhi na jion naaamin katika kristo na mungu. Hila ni mwaka wa 7 siujui mlango wa kanisaa????
Kutokuona umuhimu wa kwenda Kanisani kuna changiwa na mambo mengi lkn kubwa ktk yote kuna kitu kinaitwa MADHABAHU...ipo ya Ukoo...ya..Familia...ya..Mganga...ziko nyingi nimekutajia kwa uchache...sasa ktk hizi madhabahu lazima kuna Sadaka aidha wewe au Familia au ukoo zilikuwa zinatolewa huko sasa Ukisoma MATHAYO 6:21 HAZINA ya MTU ILIPO NDIPO NA MOYO WAKE ULIPO....hizo sadaka zilizokuwa zinatolewa zamani au ulizotoa mwenyewe ile Madhabahu iliyopokea hizo Sadaka ndio inashika moyo wako
 
Ndio kuna baadhi ni wapagani tangu kuzaliwa hajui chochote kuhusu kanisa wala msikiti wala Mungu mkuu
Kwenye Uchawi kuna watoto wa kichawi tangu kutungwa kwa mimba

Dah! Maswali zaidi Mkuu! Kwamba Muumba(Mungu) kwa makusudi anahusika na hilo!
 
Ndio kuna baadhi ni wapagani tangu kuzaliwa hajui chochote kuhusu kanisa wala msikiti wala Mungu mkuu
Kwenye Uchawi kuna watoto wa kichawi tangu kutungwa kwa mimba
Hivi ni rahisi kumbadili mtoto wa Kichawi kwa kuzaliwa na kua Binadamu Mcha Mungu.? Yaani akaachana na Uchawi kabisa..
 
Kwa maana hiyo anaruhusu hatua ya uumbaji wake inaingiliwa na Binadamu/Shetani mwanzo kabisa wa utungaji Mimba?
Kama anaruhusu hilo napata shaka labda useme sasa kuwa utungaji Mimba ni zao la starehe za Wanyama tu na si kusudio la Mungu!



cc Rev. Kishoka
Hawezi kuruhusu lakini kumbuka kuna ulimwengu wa giza na kila kitu kina kinyume chake
 
Mshana jr, kumbe wewe ni mpiga ramli chonganishi? Ngoja nitafute maafande wawili waje wakuchukue uileze jamhuri vizuri.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ushaambiwa upagani ni Imani.

Mimi sitaki Imani. Nataka ujuzi.

Hivyo siwezi kuwa mpagani.
1454948640314.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom