Binti Msichana
Senior Member
- Oct 9, 2016
- 109
- 247
Mkuu wa shule moja ya sekondari ya kata kwa makusudi ampeleka mwalimu wa somo la Geography akasahihishe mtihani wa Taifa wa kidato cha pili somo la Geography huku akiwaacha walimu wa somo husika.Huu ni mwendelezo wa vitendo vya rushwa na upendeleo vilivyokithiri kwa baadhi ya wakuu wa shule.
Shule hiyo ya kata ipo Bagamoyo mjini kilometa 3 kutoka Bagamoyo mjini kuelekea Dar es Salaam.Inapatikana karibu na Check point ya askari na maafisa wa TRA.
Hivi hawa baadhi ya wakuu wa shule mbona wanajisahau sana ? Kwa nini wanakiuka maadili ya utumishi wa umma kwa kukumbatia uovu ?
Nina imani na serikali ya mh.Rais John Pombe Magufuli itaondoa uozo huu na kuendelea kujenga misingi bora ya nchi.