Blcng
Member
- Oct 14, 2014
- 28
- 2
Ukianza kukifikilia chuo kikuu cha kampala international university unaweza ukaumwa kichwa kwa maana hawa waganda wanatak kuhalibu elimu ya Tanzania huku serikali yetu ikiangalia tuu, mfano first year pharmacy tupo 235, medicine 300, medical lab 175, sasa hao wanafunz utafundsh vpi watu 235 darasa moja, hao walimu sasa wa kinigeria yaan ndo utakufa maana hawajui kitu, cha kustaajabsha kampala kuna wanfunz wa TCU wakat chuo hakina usajir wa hizi koz za afya, ivi hii serikali yetu inakwaje inashindwa kukifungia chuo cha matapel wa kiganda maana wanaaribu elimu yetu. SIJAKULUPUKA wadau mm ni mwanafunz wa chuo kampala kam ulikuw unakifiklia icho chuo ndug yangu ni bora ukalime maana utapotez ela na mda wako