Uozo wa CHADEMA Hadharani

Kwel serikal ya CCM IMEOZA YAN USHAHID MNAO WA huo uozo sasa kwa nin msikamate hii mutu..MNA JESHI,POlisi askar magereza mahakama bunduk mabomu mizinga cjui mavifaru..SASA SISI TUFAnyeje jaman?kuna haja kwel ya kuwa na Amil jesh mkuu OMG!!!
 
Mbona hakuna evidence ya hayo madai? Duh jamaa tangu apewe nafasi ya upropagadist aka marketing officer wa chama anatumia techniques za kizee. Jino kwa jino....dah ccm is rapidly dying
 
*

Comment[/U][/B]: Shutuma hizi ni nzito kwa mtu anayeheshimika katika jamii kama Dr Slaa.
Ili kutunza heshma yake iliyobaki, na kwa maslahi ya chama chake, ashauriwe ajiuzulu mara moja.



Kishongo on the red;
Heshima ya mzazi yeyote na hususan baba inatokana na yeye mwenyewe kuweza kulisha, kulinda, kuvisha na kuandaa malazi bora kwa familia yake. Akishindwa kwenye hayo mambo 4 basi neno heshima linakuwa-replaced na fedheha. For your information about 36% ya Watanzania (40 watu milioni na ushei) wanalala njaa, achilia mbali mbavu za mbwa kuitwa malazi. Naomba nikope maneno yako hapo juu: "Shutuma hizi ni nzito kwa chama chochote kinachotaka kuheshimika katika jamii kama CCM. Ili kutunza heshma yake iliyobaki, na kwa maslahi ya chama na Taifa, kishauriwe kujiuzulu mara moja'. Narudhisha mkopo! Shukrani.
 
Source: GAZETI LA MZALENDO...mhh
kitu kama ni lulu wacha kitunzwe...hivi hushangai mshara wa wachezaji ulaya inavyotofautiana kutokana na uwezo wao?
 
TRA hawezi kumjua kila anayekwepa kulipa kodi.
Ni jukumu letu Watz kuwaumbua watu hawa kama alivyofanya Nape.
Sasa TRA wamejjua na watachukua hatua.[/QUOTE
]

TRA wao ndio wanasababisha watu wakwepe kulipa kodi nahata mimi ningekuwa na uwezo huo basi mshahara wangu usingekatwa kodi, kwani sijui kodi yangu inatumika vipi, zaidi ya kuwanufaisha watu na familia zao,
 
jamani kishongo inaonekana we ni mwakilishi mzuri wa ccm basi tufikishie na hili mishahara kwasasa tunapata tar 10
ya mwezi mpya pliz pliz tusaidie na hili.achana na hizo habari za ufisadi wa chadema maana hauwezi kutopunguzia haya matatizo tuliyonayo
 
myopic journalism! Fanyeni kaza CCM siasa hizi za Taarabu zimeshatuchosha. Wajibuni CDM kwa vitendo si kelele ambazo hazina mshiko kama hizi jamani, tusemeje jamani ndo msikie?

Focus yenu iwe kwenye kutekeleza manifesto yenu na ahadi za mheshiwa Raisi alizotoa wakatiu wa kampeni hiyo ndo iwe silaha yenu kuu ya kuwajibu CDM, na si kutumia magazeti outdated kama mzalendo kuzusha mambo,,. WATANZANIA WA 2011 MPAKA WALE WA VIJIJINI SI WA MWAKA 1970 AU 1980, BADILIKENI MUENDANE NA SPEED YA MABADILIKO! OR ELSE TUUNGANE KWA :violin:
 
This is what we call politics of desperation. CCM wameishiwa, wanabaki kujivua magamba na kusahau kuwa ukianza kumrushia mwenzako tope unabaki nazo mikononi na nguoni mwako.

Any idea about how it all started?
 
Ukweli n i kwamba kwa stile hii Nape umepotea step, ila najua nikikushauri huwezi kunielewa lakini kwa jumla ccm inahitaji professional political consultant awatoe hapo mlipo maana kwa hakika mmekwama lakini badala ya juhudi ya kutoka mnazidi kujizamisha topeni. Nape baada ya miaka mitatu na nusu utakumbuka hili kama utafanikiwa kulisoma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom