Uozo CCM! Mgawanyiko, kupoteza viti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uozo CCM! Mgawanyiko, kupoteza viti

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwanaukweli, Sep 28, 2010.

 1. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2010
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  CCM ilimpitisha mgombea wa Jimbo la Muhambwe Jamal Tamim, huku wakijua wazi kuwa ni mtuhumiwa wa ujambazi, utekaji wa mabasi na hata uhusika katika biashara ya viungo vya maalbino.

  Uamuzi huo umeleta mgawanyiko kati ya wana CCM Kibondo, ambao walio wengi dhamiri zinawakataza kumpigia kampeni mgombea wa chama chao kutokana na sifa zake mbaya.

  Hata katika uongozi wa CCM Kibondo, imeonekana kuwa wamemsusia kampeni Bw. Jamal mwenyewe, ambaye nguvu yake kubwa ni pesa zake anazozitumia kwa Rushwa kama alivyofanya kwenye kura za maoni CCM. Katibu wa CCM wa wilaya ya Kibondo amesimaishwa uongozi, na kamati ya CCM wilaya Kibondo imeitwa mkoani Kigoma kuhojiwa tarehe 29 Septemba kwa kile kinachoitwa Kukosa ushirikiano na wagombea wao. Wameitwa na Mwenyekiti wa Mkoa, Mfanyabiashara tajiri Azim Premji, ambaye alimtetea sana Jamal Tamim kwenye kikao cha NEC CCM pamoja na mjumbe mwingine Mfanyabiashara tajiri Abdallah Muhsin Sheni

  Mgombea anayeonekana kwenda vizuri Jimbo la Muhambwe ni Felix Mkosamali wa NCCR Mageuzi.

  Mzee Ntagazwa anagombea kwa Tiketi ya CHADEMA lakini rekodi yake ya nyuma imemfanya asikubalike sana, na hata kampeni zake haziendi vizuri.
   
 2. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2010
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Kibondo ilikuwa kambi imara ya CCM, lakini kwa sasa wanamkataa hata mgombea urais wa CCM.
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,018
  Likes Received: 417,506
  Trophy Points: 280
  KAMA UCHAGUZI UNGELIFANYIKA WIKI JANA MATOKEO NI..

  Tetesi ndani ya chama changu tawala kulingana na kura ya maoni waliyoigharimia wao wenyewe kama uchaguzi ungelifanyika wiki iliyopita matokeo yangelikuwa kama ifuatavyo:-

  A. URAISI


  JINA ASILIMIA

  1.0 Dr. Slaa…………………………50
  2.0 JK……………………………….35
  3.0 Prof. Lipumba………………….14
  4.0 Wengineo………………………. 1


  B. UBUNGE


  CHAMA IDADI YA VITI

  1.0 CHADEMA……………………………101

  2.0 CCM………………………………… 66

  3.0 CUF……………………………………30

  4.0 WENGINEO………………………………...5

  5.0 TOO CLOSE TO CALL…………….. 8


  C. MADIWANI

  1.0 CCM……………………..52%

  2.0 CHADEMA…….. 38%

  3.0 CUF……………. 9%

  4.0 WENGINEO……. 1%

  USIBANDUKE KITUONI LINDA KURA YAKO SIKU YA UCHAGUZI

   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Sep 29, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Yaani pesa hivi sasa ina nguvu sana ndani ya CCM, jamaa licha ya kashfa zote hizo wamempitisha kugombea!
   
 5. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2010
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  But tayari imewa cost sana Kibondo.

  Pia ni doa kwa CCM kwamba maadili si kigezo tena kwa wagombea, pesa kwanza.
   
 6. K

  Katebe Member

  #6
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwaka huu CHADEMA.

  Hakuna ubishi anayekataa na akatae.

  DR. Slaa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Sep 29, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Karibu sana jamvini Katebe!!!
   
 8. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,161
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Sasa huu mwanawane ni uzushi
   
 9. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Ni bor aapewe mpinzani yoyote kuliko huyo mtuhumiwa..
  Inavyoonekana analindwa na hao wafanyabiashara..
  CCM wabadilishe nembo ya jembe na nyundo waweke notinoti..!
   
 10. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  mwasisi wa ccm mwalimu nyerere aliisha ilishatamka hii kuwa no vyavu za korokoro kuvuta samaki na ucahfu baharini, ndio uchafu wenyewe. Mwambie amsubiri jk aje amnadi kama alivyozoea kuwanadai watuhum iwa wengine. Katika viakao vya cc na nec jk alikaidi hadi taarifa za kamati ya ulinzi n usalama ya mkoa kumhusu mtu huyo.
   
 11. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Saa ya ukombozi wa Mtanzania/mzalendo ni october 31
   
 12. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #12
  Sep 29, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Sauti ya Unabii. Yasafisheni mapito. Mabadiliko yanakuja Tanzania.

  (Hata makachero wa homeland security wanaosemekana kusambazwa nina amini wana uzalendo na wanawahurumia Watanzania masikini. Mwaka huu kikwete labda atoe fotokopi za Salma na Ridhwani azisambaze kote ndiyo atashinda.)
   
 13. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #13
  Sep 29, 2010
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  waweke na bunduki na visu pia.
   
 14. 1

  1954 JF-Expert Member

  #14
  Sep 29, 2010
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 4,286
  Likes Received: 2,178
  Trophy Points: 280
  Re: Uozo ccm! Mgawanyiko, kupoteza viti.
  KAMA UCHAGUZI UNGELIFANYIKA WIKI JANA MATOKEO NI..

  Tetesi ndani ya chama changu tawala kulingana na kura ya maoni waliyoigharimia wao wenyewe kama uchaguzi ungelifanyika wiki iliyopita matokeo yangelikuwa kama ifuatavyo:-

  A. URAISI


  JINA ASILIMIA

  1.0 Dr. Slaa…………………………50
  2.0 JK……………………………….35
  3.0 Prof. Lipumba………………….14
  4.0 Wengineo………………………. 1


  B. UBUNGE


  CHAMA IDADI YA VITI

  1.0 CHADEMA……………………………101

  2.0 CCM………………………………… 66

  3.0 CUF……………………………………30

  4.0 WENGINEO………………………………...5

  5.0 TOO CLOSE TO CALL…………….. 8


  C. MADIWANI

  1.0 CCM……………………..52%

  2.0 CHADEMA…….. 38%

  3.0 CUF……………. 9%

  4.0 WENGINEO……. 1%

  USIBANDUKE KITUONI LINDA KURA YAKO SIKU YA UCHAGUZI


  I am a public policy analyst based in Arusha, Tanzania


  Kumbe Chadema mumpanga kuiba kura?
   
 15. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #15
  Sep 30, 2010
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180

  Nyie mme analyse vipi uchaguzi?
   
 16. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #16
  Sep 30, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,451
  Likes Received: 782
  Trophy Points: 280
  "CCM wabadilishe nembo ya jembe na nyundo waweke notinoti..!"

  Ujamaa na kujitegemea sera ya CCM imefutika sio tu katika kampeini hii,wamefuta kunukuu kitabu cha Muasisi wao Mwl Nyerere.
   
 17. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #17
  Sep 30, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,500
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280  Hiyo ndiyo analysis yako??
   
 18. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #18
  Oct 1, 2010
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Anakubaliana nayo!
   
 19. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #19
  Oct 1, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  hata kama tutashindwa lakini chenga tumewala
   
 20. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #20
  Oct 1, 2010
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Kama si kwa maslahi ya Watanzania hakuna cha kujivunia.
   
Loading...