Uovu usipokemewa na kudhibitiwa mapema hukomaa na kuwa haki

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,311
11,678
Ni jambo gani ovu au si zuri kimaadili au kiimani, ambalo unalifahamu halikukemewa na kudhibitiwa vilivyo na sasa hivi jambo hilo linatetewa kana kwamba ni haki, hali ya kuwa halifai kulingana na mila, desturi na tamaduni za Kitanzania šŸ’

Hebu ongeza unalokumbuka na kuliona mie naona hili la mtindo wa uvaaji mavazi mafupi kwa ke, na uvaaji nguo chini ya makalio maarufu kama mlegezo kwa me. Mi naona kulikua na kulegalega kwenye kukemea na kudhibiti šŸ’
 
Back
Top Bottom