Kubwa la Masokwe
Member
- Jun 1, 2016
- 9
- 27
Napenda kuutaka uongozi wa Clouds FM kutuomba radhi waislaam wote watanzania hususani wasikilizaji wa vipindi vyao kutokana na kauli za dhihaka zilizotolewa na Ephraim Kibonde wakati wa kumaliza kipindi kwa kufananisha Adhanaa na nyimbo za mziki.
Maswala ya kiimani sio ya kuletea mzaha kabisa
Maswala ya kiimani sio ya kuletea mzaha kabisa