Uongozi mpya UVCCM: Mwenyekiti ni JUMA SADIFA; Makamu Mwenyekiti ni MBONI MHITA

Mwenyekiti wa CCM, dini yetu.
Mwenyekiti wa UWT, dini yetu
Mwenyekiti wa UVCCM, dini yetu
Makam Mwenyekiti wa UVCCM, dini yetu.

Bado mwenyekiti wa Watoto.

Kwa taarifa yako Sophia Simba ambae ni mwenyekiti wa UWT ni mkristo tena mkatoliki wa Maneremango.CCM hakuna uenyekiti wa watoto labda hiyo nafasi ianzie CDM na Junior Slaa awe mwenyekiti wa kudumu.
 
Kwa taarifa yako Sophia Simba ambae ni mwenyekiti wa UWT ni mkristo tena mkatoliki wa Maneremango.CCM hakuna uenyekiti wa watoto labda hiyo nafasi ianzie CDM na Junior Slaa awe mwenyekiti wa kudumu.

Tangu lini mzaramo akawa mkristu? Kutakuwa na sababu zilizopelekea kubadilisha kuwa mristu. Hata hivyo sifikiri kama bado ana ukristu kweli au anatumia tu mwamvuli wa ukristu kukizi haja zake na za wezake.
 
Kwa taarifa yako Sophia Simba ambae ni mwenyekiti wa UWT ni mkristo tena mkatoliki wa Maneremango.CCM hakuna uenyekiti wa watoto labda hiyo nafasi ianzie CDM na Junior Slaa awe mwenyekiti wa kudumu.

Eti CCM hakuna uenyekiti wa watoto? Hebu elimika kupitia JF, the home of great thinkers:

Mwenyekiti wa Taifa wa Chipukizi wa CCM ni Gabriel Amos Makala, mtoto wa naibu waziri Amos Makala. Alichaguliwa akiwa mtoto wa miaka 12.

Khalfani Jakaya Kikwete, mtoto wa M'kiti wa CCM Taifa, pia ni Mjumbe wa baraza kuu la taifa la Chipukizi wa CCM. Alichaguliwa akiwa mtoto wa miaka 11.
 
Sasa mkristu wa kweli anatoka wapi uchagani? dhambi ya ubaguzi itawatafuna ngirimaji nyie.Mmeshindwa kupandikiza hisia za udini kwenye safu ya uongozi CCM sasa hivi unawabagua wakristu wenzako kwa ukanda.Shame on you!!!!
 
Kumbe kuwa mkristu kuna vigezo vya ukabila na sehemu mtu anakotoka ebu basi vimwage jamvini...
 
Eti CCM hakuna uenyekiti wa watoto? Hebu elimika kupitia JF, the home of great thinkers:

Mwenyekiti wa Taifa wa Chipukizi wa CCM ni Gabriel Amos Makala, mtoto wa naibu waziri Amos Makala. Alichaguliwa akiwa mtoto wa miaka 12.

Khalfani Jakaya Kikwete, mtoto wa M'kiti wa CCM Taifa, pia ni Mjumbe wa baraza kuu la taifa la Chipukizi wa CCM. Alichaguliwa akiwa mtoto wa miaka 11.
Hivi na wewe hauoni tofauti ya chipukizi na watoto? au hilo nalo linahitaji mpaka waje hao unaoamini GT waje wakukumbushe?
 
HAWA VIJANA WAKAE MTAZAMO WA KUJENGA UCHUMI NA SIO KUIMALISHA CHAMA. Inabidi wafanye study tour nchini marekani, Israel na Uingereza waone vijana wenzao wanatoa mchango gani katika kufuta ukosefu wa ajira ktk nchi zao na wao wataibanaje serikali ku create more jobs kuliko kugharimia vikao vya NEC.

waje USA, halafu watembelee financial district pale low mnhatan,. Hapo watafika mpaka new York stock exchange. Pale new york stock exchange pana maktaba ambamo kuna watu wa kila rika, wanajua uchumi karibia wa dunia nzima na ushauri wao husisimua sana.. ni vizuri wajifunza Ulaya magharibi na USA walifanikiwaje mafanikio makubwa ya kiuchumi kuliko kwenda China na Urussi kujifunza propaganda za kulaghai umma. Maneno kama magamba, Kubobea na mengine ni propaganda za kuchezea akiri za watu tuu uawtawalao. Hivyo nyie vijana badilikeani.
kumbe uko U.S.A mkuu. asante kwa kutujulisha.
 
Tangu lini mzaramo akawa mkristu? Kutakuwa na sababu zilizopelekea kubadilisha kuwa mristu. Hata hivyo sifikiri kama bado ana ukristu kweli au anatumia tu mwamvuli wa ukristu kukizi haja zake na za wezake.

Wazarmo ni kabila kubwa sana katika mwambao wa pwani. Wakistu wengi walioko pwani ni Wazaramo. Katika sehemu za Mwanelumango, Kisarawe, Kibaha, Chalinze na Bagamoyo huko wakirustu Wazaramo ni wengi sana. Fact nyingine, ni kuwa katika makabila yote yalioko pwani wazaramo waislamu wameoa/wameolewa na wakristu. Dayosisi kubwa ya mashariki ya pwani (Dayosis ya Zaramo). Majority ya Walutherani waliopo dayosis ya mashariki na pwani ni Wazaramo. Kama ulikua ujui chukua, kama hutaki we acha. No research, No right to speak.
 
Sasa mkristu wa kweli anatoka wapi uchagani? dhambi ya ubaguzi itawatafuna ngirimaji nyie.Mmeshindwa kupandikiza hisia za udini kwenye safu ya uongozi CCM sasa hivi unawabagua wakristu wenzako kwa ukanda.Shame on you!!!!

Nilfikiria huwa unafikiria ndani ya box, kumbe mida mingine unatoka. Ata least leo umeona kwamba ukanda hauhitaji. Ila kwenye kampeni za kisiasa ukabila, udini na ukanda unauleta. Sina cha kukuambia zaidi ya kwamba enelea hivyo hivyo, utaokoka sana
 
wadau naomba kujuzwa kikomo cha umri wa kugombea UVCCM.

Umri wa kuongoza UVCCM hautakiwi kuzidi miaka 35, hivyo mgombea nafasi UVCCM hatakiwi kuzidi miaka 30 wakati anapogombea.

Hv M'kiti Sadifa anaweza kuwa ni mdogo kuliko Malisa au Bashe ambao wanang'atuka UVCCM kwa kigezo cha umri?
 
Mkuu kama AFYA isipokubali 2015, tutapiga kura za chuki dhidi ya Membe! Utashangaa maana Membe, Sita, Mwakyembe wote hatuwahitaji.

Tunaweza kumpa Abdallah Kigoda. Najua wengi hammfikirii.

We always have plan B.

Mark my words and watch JF!
Namkubali Kigoda, Shein, Nahodha, Dr. Mwinyi na hata Migiro wote ni spotless ila kuna silent (haijaandikwa popote), zamu kati ya bara na visiwani na kati ya Mkristo na Muislamu!. Baada ya Kapa zamu ilikuwa ni ya Zanzibar na Muislamu!, wajanja kwa kulijua hilo, zamu ilikuwa ni ya Dr. Omar, ili kuipoka zamu ya Zanzibar, there was no way, Dr. Omar had to go!, ili zamu irudi huku kwa kukosa mtu kule!.

2015 zamu ni ya bara na ni Mkristo, wamiliku Wakuu wa Ukristo kwa Tanzania ni Wakatoliki, kwa vile EL ni Mlutheri, imembidi ajihalalishe sana na TEC, ndio maana mmeona akihangaika sana na fund raising za makanisa ya Katoliki na kujisogeza sogeza karibu hata ikubidi kulobby kualikwa na kuzamia kutoa salaam!.

Wakatoliki ndio wamejipa hati miliki ya urais kuwa kama ni Mkristu, sio Mkiristi ili mradi Mkristo, "he has to be Mkisto Mkatoliki"!. Ndio maana papoja na juhudi zote za mgombea wangu EL, na kukuru kakara zote, at the end of the day, atakayesimamishwa CCM ni Bernard Membe "Mkristo Mkatoliki!". Magufuli pia ni Mkatoliki, ila yeye kamwe hawezi kupewa kwa sababu he is too risky "Mrema Type", ni "populist" and can do anything ikiwemo kumpandisha Mkapa, JK na mafisadi kizimbani, and he is a possible dictator!.

Kwa vile CCM watamsimamisha Membe na aminini nawaambia Lipumba hata simama!, then Chadema ikimsimamisha Mkatoliki, kura za Wakatoliki zita split, betwen the two, na final beneficiary itakuwa ni CCM!. Nliwashauri Chadema, lazima wafanye "affirmative action" "to engeng" the Muslim kwa kumtumia ZZK kama mtaji chanya kwa kumteua kuwa canditate wao!, Chirstians watampa!, Muslims Watampa!, Elite group Watampa!, Youth Watampa!, Kura zote za Pemba na half za Zanzibar kwa rais wa JMT, atakomba, na kuyra nyingi zaidi kuliko kura zote ni kura za "wanawake, nazo atazilamba kwa sababu jamaa ...apeal, na kwa wanawake, huyo ni Chatu mbale ya mbwa!, wawe single or ..., watabana wee, mwisho wataachia, na wote watatoa!, hivyo Chadema kushinda very sweet landslide victory!.

Kuna watu wataniita "mdini", niiteni tuu as long as ni ukweli mchungu kuwa "udini upo", hatutauondoa kwa "denial" bali kwa "facing the facts".

P.

Kwa taarifa yako Sophia Simba ambae ni mwenyekiti wa UWT ni mkristo tena mkatoliki wa Maneremango.CCM hakuna uenyekiti wa watoto labda hiyo nafasi ianzie CDM na Junior Slaa awe mwenyekiti wa kudumu.

ushasahau cheo cha halfan jk kua mwenyekiti wa machipukizi
 
Back
Top Bottom